Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

Lakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata
Magufuli alipenda maendeleo... Ila hakujua ni njia ipi sahihi...

Nakupa mfano... Alitoa amri JWTZ kesho nendeni Mtwara na Lindi kasombe korosho zote kwenye maghala ziletwe Dar... Kuna watu walikuwa wamenunua korosho za millioni 400, wengine 600... Hawajawahi kulipwa mpaka kesho...

Sasa hii ni Moja..Kuna mengi kama hayo zaidi ya 50... Na ndio maana waliamua kumpumzisha... Kuna kesi iliisha kama miaka 4 nyuma .. Tanzania ilipigwa Hela ya kufa mtu kama billioni 600..na Mahakama za kimataifa kwa maamuzi yake...mambo ni mengi
 
Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
Kosa kubwa lilifanyika 2005 kumpa JK nchi
Bila huyu mzee , leo tusingekuwq na JPM wala Samia

Shida kubwa ilianzia pale na ndio maana hata sasa huyu mzee ni janga la taifa

Think well
 
Lakini Magufuli alimkataa Samia 2020 wazee wakamlazimisha. Yeye mwenyewe aliliongea hili mbele ya Wana CCM kwenye vikao vyao hadharani kuwa alimhitaji Huseni Mwinyi Ila akapingwa.
Maanake sasa kuna watu ndo wenye nguvu hata kama ukiwa Rais.
Je hao wazee ni kina nani?
 
Back
Top Bottom