Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

Lakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata
Unaweza kufanya mazuri mengi sana lakini ukafanya baya moja ukahalibu kila jema ulilolifanya magufuli kama usemavyo alikuwa anapambana kuhakikiaha nnchi inakuwa na uwajibikaji kwa kila mtu lakini kilichomuhalibia ni kuteka watu na kupoteza kuuwa ndio kila jema lake likaishia hapo
 
Lakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata
Rais bora sawa lakini kwa muktadha upi?
Kwangu mimi nampongeza sana Magufuli kwa utendaji wake na uchapakazi na kulinda raslimali za taifa.laikni kwenye suala la utawala bora unaofuata katiba sheria jamaa alivurunda sana na majanga mengi tunayoyaona sasa ni kwa sababu jiwe alishupaza shingo kwa kudhani atatawala milele, kwangu mimi nampa 50/100
 
Rais bora sawa lakini kwa muktadha upi?
Kwangu mimi nampongeza sana Magufuli kwa utendaji wake na uchapakazi na kulinda raslimali za taifa.laikni kwenye suala la utawala bora unaofuata katiba sheria jamaa alivurunda sana na majanga mengi tunayoyaona sasa ni kwa sababu jiwe alishupaza shingo kwa kudhani atatawala milele, kwangu mimi nampa 50/50
Na hili mimi niliwahi kusema mwaka 2015 magufuli tu alipochaguliwa na wajumbe wa CCM nilikuwa nawaambia watananzania wa huku nilipo nafasi ya mwisho katika nnchi hii ni uwaziri mkuu basi
 
Kwa ile afya ya Mamvi hiyo 2015 ingekuwa kituko kupitishwa na CCM ni sawa tu na Mzee Moses Ali wa Uganda.
 
Kosa kubwa zaidi lilikuwa vigezo alivyotumia kuteua makamu wake.

Miaka minne, makamu watatu🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Huu mzigo walipa kodi ndiyo tunaubeba.

Mpango na Nchimbi wataendelea kukunja 80% ya mshahara wa VP aliye ofisini pamoja na marupurupu kibao.
 
Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
Nahisi kosa halikuwa kumchagua magufuli bali kilichotokea baada ya lowassa kukatwa. Kilichotokea ndo kilisababisha baadhi ya watu maisha yao ya kisiasa kuisha au kuingia doa japo wamekuwa wakipewa nafasi kwa sababu ya mazoea. Mwaka 2015 ni moja ya mwaka ambao hautasahaulika katika siasa za Tanzania.
 
Rais bora sawa lakini kwa muktadha upi?
Kwangu mimi nampongeza sana Magufuli kwa utendaji wake na uchapakazi na kulinda raslimali za taifa.laikni kwenye suala la utawala bora unaofuata katiba sheria jamaa alivurunda sana na majanga mengi tunayoyaona sasa ni kwa sababu jiwe alishupaza shingo kwa kudhani atatawala milele, kwangu mimi nampa 50/100
Kama ulimuelewa kwenye kulinda rasimali ungemuelewa na huko kwingine.

Wewe hukumuelewa Magufuli .
 
JPM ndiye aliyekuwa rais bora kwa wakati wote kuzidi hao wengine wote ukiwaweka kwa pamoja.
Huyo alikuwa chizi na muuaji. Aliwaita wanyonge na nyie mkajaa na kubinuka huku yeye anapiga pesa, jiulize nyie wanyonge aliwatoa kwenye unyonge au mpaka sasa bado ni wanyonge.
 
Back
Top Bottom