Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

Ila kwa namna ambavyo tulivyo hasa sisi watanzania naamini hata angekuja malaika kutuongoza angepingwa tena na kundi kubwa sana hilo halina ubishi hata.

All in all :
“Kabla hujanihukumu kuhusu tabia yangu, hakikisha yako inaweza kustahimili kuchunguzwa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…