Makosa ndani ya Makala ya Mama Maria Nyerere Kutimiza Miaka 93

Fundi...
Ahsante sana.
 
Ungetusaidia uweke link yake
 
🙏🙏
 
Fundi...
Ahsante sana.
Ahsante sana kwa kushukuru Mohammed.

Kwa sasa naomba uvumilivu wako tena maana naweka link ya andiko lako ulimoandika kuhusu EAMWS ili kwa heshima na taadhima tuweze kulijadili baadae maana kuna mambo mengi kidogo siyaelewi.


Hii hapa ni sehemu ndogo mno ya andiko lako:

" INTRODUCTION
Islam has been in existence in East Africa since the eighth century. With Islam, emerged the lingua franca, Kiswahili, spoken throughout East and Central Africa and the Swahili culture which is mostly associated with Muslims. About two-thirds of East Africa’s Muslims reside in Tanzania which is the most populous of the East African countries i.e. Kenya, Uganda and Tanzania. According to the 1957 population census, Muslims outnumbered Christians at a ratio of three to two. This means Tanzania is a leading Muslim nation in the region. But the 1967 census the total figures for Tanzania Mainland are 32% Christian, 30% Muslim and 37% local belief. This shows Pagans as a leading majority. The 1967 census has not been able to show the reasons for the sudden decrease of Muslim population nor the growth of Paganism. This was the last population census showing religious distribution. It is widely believed that the figures for the 1967 census were doctored for political reasons to show Muslims were trailing behind Christians in numerical strength. This paper "lnsha Allah", will try to show the reasons behind such a move and many others.

Christianity is a relatively new religion in Tanzania having introduced into the country during the 18th Century by professional missionaries. Christianity was resisted by Muslims right from the beginning. In any uprising against the colonial state Muslims took that opportunity to attack missionaries and Christian establishments. Muslims perceived both missionaries and the colonial state as fellow collaborators and therefore enemies to Islam. Islamic radicalism has therefore a long history in the struggle against colonial rule and Christianity. Christianity meanwhile became a reactionary force siding with the colonial state. In the Maji Maji War of 1905 some Christians fought alongside the German army against the people to safeguard Christianity. In this war some Muslims were hanged particularly for killing missionaries and for waging a war against German rule."

Hayo niliyo bold yananisumbua kidogo.

Amandla...
 
Uthibitisho wa kuwa Mama Maria aliuza soda haukuuleta wewe. Uthibitisho ni lile bango kwenye picha yako na sio taarifa yako kuwa ulimuuliza Bahdoury ambae hatumfahamu na wala hatuna uhakika kama aliishi pale. Na kutokana na picha yako, Mama Maria alikuwa anauza bidhaa nyingine zaidi ya mafuta ya taa na soda. Ila najua mwisho wa siku utasema ni utafiti wako ndio umesahihisha maandiko ya awali ya kuwa Mama maria alikuwa anafanya biashara ya mafuta ya taa tu. Jaribu kutoa credit panapostahili credit hata kama atakaefaidika ni mmisheni Fundi Mchundo.

Amandla...
 

Sykes, Kleist (1894–1949),​

labor union organizer and anticolonial figure in Tanganyika (present-day Tanzania), was born in Pangani, Tanganyika, then an important German military camp. His father, Sykes Mbuwane, was part of a Zulu mercenary force that had been recruited by the German military forces to quell resistance to German authority and restore order in Tanganyika. At about the time his son was born he died crossing the Ruaha River while returning from a campaign against Chief Mkwawa.

Hii nimeitoa kutoka kwenye Dictionary of African Biography ambacho wahiri wake walikuwa ma Professor Henry Louis Gates na Emmanuel Akyeampong. Hawa walikusanya maandiko mafupi mafupi kuhusu baadhi ya waafrika maarufu. Sykes pekee aliyetajwa ni huyu Kleist Sykes (ukurasa wa 98) ambae ni baba yao wakina Sykes ambao unawasifia. Nadhani maandiko kuhusu Kleist Sykes yalitoka kwako.

Uzuri wake ni kuwa tofauti na ulivyosema katika kitabu cha Islam and Politics in Tanzania kuwa wakristu ndio waliungana na wakoloni dhidi ya wananchi, baba yake Kleist aliyeitwa Sykes Mbuwane alikuwa ni mamluki wa kizulu aliyekodiwa na wakoloni wa kijerumani kupigana na wazalendo akiwamo Chief Mkwawa. Hili hukuliweka kwenye kitabu chako cha Islam and Politics maana kilienda tofauti na agenda yako.

Amandla...
 
Fundi...
Soma tena utaona nimetaja jina la aliyeniletea taarifa ya Mama Maria kuuza Coca-Cola kuwa ni akina Bahdoury.
 
Fundi...
Soma tena utaona nimetaja jina la aliyeniletea taarifa ya Mama Maria kuuza Coca-Cola kuwa ni akina Bahdoury.
Huo sio ushahidi Mohammed. Hiyo ni hearsay. Mimi ndio niliyekustua kuwa ulichokisema kina dosari. Usingemtafuta Bahdoury bila mimi. Ushahidi kuwa Mama Maria alikuwa anauza soda ni ile poster kwenye picha na hata Bahdoury angekanusha bado wengine tungeamini kuwa mmekosea. Na sisi tungekuambia kuwa wazee wetu waliokuwa wanaishi jirani na mama Maria walikuwa wananunua soda na sabuni za kuogea kutoka kwenye kaduka kake.

Amandla...
 
Fundi...
Kwa nini unasema unadhani kuwa mwandishi ni Mohamed Said.
Jina langu liko hapo liangalie utaliona.

Nilikuwa kati ya waandishi 500 kutoka kila kona ya dunia waliojumuishwa kuchangia uandishi wa Dictionary of African Biography (DAB).

Kitabu si Islam and Politics nadhani umekusudia kitabu cha Abdul Sykes.
''Islam and Politics'' ni paper.

Kuhusu Wazulu kuingia kama mamluki kuja kupigana na wananchi wa Tanganyika nimelieleza soma kitabu.

Inakuwaje hili la pili unasoma lakini huoni unaniuliza kitu kipo katika karatasi unayosoma?

Angalia hapo chini kuhusu Wazulu:

''Kwa kweli jina la Kizulu la Affande Plantan lilikuwa Shangaan. Hili jina lilitokana na kijiji katika Inhambane Msumbiji, walikotoka Sykes Mbuwane na Affande Plantan.

Wajerumani waliwaajiri Wazulu 400 kutoka Msumbiji kama mamluki na kujanao Tanganyika ili wapigane na Abushiri na Chifu Mkwawa.''
 
Naunga mkono hoja hii
 
NI kweli "Islam and Politics in Tanzania" ni article sio kitabu. Katika article hiyo umeandika "Christianity is a relatively new religion in Tanzania having introduced into the country during the 18th Century by professional missionaries. Christianity was resisted by Muslims right from the beginning. In any uprising against the colonial state Muslims took that opportunity to attack missionaries and Christian establishments.
Muslims perceived both missionaries and the colonial state as fellow collaborators and therefore enemies to Islam. Islamic radicalism has therefore a long history in the struggle against colonial rule and Christianity. Christianity meanwhile became a reactionary force siding with the colonial state.
In the Maji Maji War of 1905 some Christians fought alongside the German army against the people to safeguard Christianity. In this war some Muslims were hanged particularly for killing missionaries and for waging a war against German rule."
Utaona kuwa umekazia ushiriki wa wakristu katika vita ya Maji Maji wakiwa upande wa wajerumani lakini umekaa kimya kuhusu ushiriki wa waislamu wakina Mbuwane na Plantan wakiwa upande wa wajerumani. Hilo inaelekea umeandika katika kitabu chako cha Abdul Sykes ( BTW Wajerumani waliwaleta mamluki wakina Sykes German East Africa sio Tanganyika maana jina Tanganyika lilitumika baada ya WW1). Nahisi umefanya hivi kwa sababu walengwa walikuwa tofauti. Ile article lengo kuu lilikuwa ni kuonyesha ubaya wa wakristu ndio maana ndani yake umebeza mchango wa wakristu na hata baadhi ya mishionari katika juhudi za kulikomboa taifa letu. Na ukweli ni kuwa walioleta uhuru sio wale tu waliokuwa katika executive committee yakwanza ya TANU bali ni watanganyika wa dini tofauti waliokiunga mkono (waziwazi au kwa kujificha) chama walichoongoza. Na chama hicho hadi tunapata uhuru kiliongozwa na Mwalimu Julius Nyerere mkatoliki wa kizanaki.

Amandla...
 
Fundi...
Mimi sikutafuta taarifa hiyo bali msomaji kasoma mjadala na ananifahamu akaniletea hiyo taarifa.

Mimi nimefurahi kuwa tumeiweka vyema historia ya mama yetu.
 
Fundi...
Mimi sikutafuta taarifa hiyo bali msomaji kasoma mjadala na ananifahamu akaniletea hiyo taarifa.

Mimi nimefurahi kuwa tumeiweka vyema historia ya mama yetu.
Ni Fundi Mchundo ndie aliyeiibua. Na ndie aliyekukatalia msimamo wako na ukambishia. Nashangaa unasema haukuitafuta wakati ilikuwa katikati ya majadiliano yetu.

Amandla...
 
Ni Fundi Mchundo ndie aliyeiibua. Na ndie aliyekukatalia msimamo wako na ukambishia. Nashangaa unasema haukuitafuta wakati ilikuwa katikati ya majadiliano yetu.

Amandla...
Fundi...
Hapana shida ikiwa unaona hivyo kwangu ni sawa.
 
Fundi...
Hapana tabu.
 
Huu hapa ushahidi. Na ulilalamika kuhusu mimi kukuita muongo ndio maana najua uliisoma. Lakini hauwezi kukubali kuwa mmisheni Fundi Mchundo ndie aliyekufungua macho!

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…