Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli


Kwahiyo kalamba kumi na tatu kimasihara
 

Mtumie tena this time atakuja
 
Shida inakuja umewaseti kama watatu hivi[emoji23][emoji23][emoji23] mmoja yupo Arusha mwingine moro na mwingjne Mtwara kama yule mjumbe wa 7800 hizo hamsini hamsini ni shida kidogo, ila tunaufanyia kazi huo ushauri.
 
Nakubaliana na wewe, ujanja huu una matokeo chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…