Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Captivity mindset ujeuri na ujivuni ukiwa na pesa inalipa sifanyi Utopolo kama huu kwa mimi binafsi
 
Captivity mindset ujeuri na ujivuni ukiwa na pesa inalipa sifanyi Utopolo kama huu kwa mimi binafsi
Atajuaje kama una Hela Na wewe una mzuka nae unataka aje ghetto fasta ?
 
Akkuna kupoteza pesa kizembe hiviii we mwambie njoo akigoma usimsumbue akope nauli utamrudishia mara kumi yake, mwanamke mwenye nia haswa ni yule anaekuja kwa nauli yake fullstop, kutuma pesa blind bora ukampa mama yako mzazi shamba .
 
Wacha aikule mkuu, sasa hiyo haitoshi hata kununulia body spray
 
Na wew SI umeambiwa utume elf 55 Sasa ndo nn kutuma elf 13
 
Ww hao labda mademu wa kizungu ndo utume nauli bila ya kumsumbua atakuja ila wa kibongo moka upge simu kila muda dadekii ukijifanya kama hutaki nae anafanya kuilia mishkaki hyo hela
Kweli ukikaa kimya bila kuwa pigia wata uliza unipigii simu maana washa zoea kupigiwa sim za usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…