Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Nyanokoooo elf hamsini pumbavu kasorobo dakika kumiii wewe
 
😅😅😅😅😅😅😅 hapo ulipiga kwenye mshono yani huyo kima anajuta kwanini hakunyofoa mzigo kwanza!!!

Hivi kumbe hawa wala nauli wapo serious na kazi yao namna hii? Huwa naskiaga tu wazee wa TPA wanavyolizwa kwa kusubiria mizigo ije halafu haifiki😅
 
Yapo mengine ni mashetani, Na kunalingine limehojohiwa kwenye vyombo vya habari likasema lilitumiwa milioni 11 lakini halikwenda
 
Alipiga simu anasema keshajiandaa na safari yupo kwa wakala nitume hiyohiyo 30 atoe ya njiani atajipambania [emoji28]
 
Alipiga simu anasema keshajiandaa na safari yupo kwa wakala nitume hiyohiyo 30 atoe ya njiani atajipambania [emoji28]
Ya njiani atajipambania🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu unajikuta unatujua Sana wanawake eee
Sio wanawake. Najua kuhusu nguvu ya lugha ya Pesa. Pesa Ni lugha inayo jitegemea. Unaweza kutumia lugha ya Pesa " money language" kucommand akili ya mwanamke ifanye Kile unacho kitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…