Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Naelewa man [emoji23], ni survival of the fittest tu duniani hapa.

Maana siku ukikaa vibaya, wana wanapita na manzi yako pia.
nlishawah kukuta dem wa msikaji wangu anagombaniwa na wahuni wawili siwajui, demu mwenyewe chumaa, nikamgombelezea nikamwomba jamaangu aende akatulie nae kwenye bajaji wakati me nasolve issue na washkaji walokuwa wanamgombea...huku nyuma jamaangu kakimbia na yule bibie..haha
 
Hahaaa! Ujana una fujo sana aisee [emoji23][emoji3577]
 
KIJANA FUTA HII THREAD.
Usikute huyu mleta mada ni parody la madem katumwa humu kimkakat kuja kuupotosha umma mteule wa wanaume kwa kuwalsha propaganda, watu wamezeshwe sumu alaf waendlee kutuma miamala mikubwa

Humpat mtu hapa
 
Kuna jamaa yangu yeye ndo zake anakwambia vitamu haviji buree...anahonga mpk vumbi ila anawala mpk keroo
 
I guess hii thread imeandikwa na mwanamke anayekula nauli
 
Dah, kwa usawa huu hapana kilongozi,, Bank account bako imevaa sweta
 
The law of sacrifice states that the larger the sacrifice the higher the wage.
 
Atarudi tu huyo
 
Usitume Nauli kwa Mwanamke ambaye siyo Demu wako ( Ambaye hujamla/ hujamgonga)

Vijana Huo Ndio Ukweli, Usitume Nauli kwa manzi ambaye ndio kwanza unamtaka umle, The Odds are against you.

Mtumie Nauli Mwanamke ambaye ni Demu wako period
Iko hivo hiyo. Tuma Nauli kwa Manzi wako wa uhakika, I repeat.
 
Mwanamke Kula nauli kwao ndy mtaji wa maisha yao ya kila siku..

Nishamtumia mwanamke 30000 Moro _ dar na hakuja,
Tena mara 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…