Sasa akishinda wewe utafurahi?? Acha ashindwe ili ufurahi.Ndiyo maana hatashinda kama ataendelea kuwa hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akishinda wewe utafurahi?? Acha ashindwe ili ufurahi.Ndiyo maana hatashinda kama ataendelea kuwa hivi.
Mwenye masikio na asikie. Fair enough commred [emoji119]Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake.
Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Makosa yenyewe ni yafuatayo
1. Hazungumzii kwa kirefu ana ajenda gani ya maendeleo kwa wananchi, kitu kimoja ambacho amekielezea kwa ufanisi sana ni kuhusu suala la katiba mpya na umuhimu wake, lakini Lissu anapwaya sana kwenye kuelezea Issues zinazohusu ugali mezani mwa wananchi, Lissu kwa mfano hawezi kuzungumza zaidi ya dakika moja kuhusu mkulima na kilimo chake, mfanyakazi wa umma na maslahi yake, Elimu na namna ya kuiboresha, wavuvi na uvuvi wao, Wamachinga, miundo mbinu, Lissu haarticulate vizuri hizo issues. Lissu hazungumzii Ufisadi kabisa na kwamba ana mpango gani wa kukomesha rushwa, ufisadi na plan ipi aliyokuwa nayo juu ya Taifa ili kunufaika na rasilimali zake
2. Pili Suala la kuponda hali ya COVID-19 nchini na kudai ipo sana na kulizungumza bila ushahidi wa Data, na kuongea kitu ambacho yeye binafsi hatekelezi, inamuexpose kama mwanasiasa msema chochote ilimradi kusema lakini hasimamii anachokisema. Tangu Lissu aje, ameonekana kwenye mikusanyiko ya watu wengi, ndani ya vikao vya chama, kwenye mapokezi yake n. k, huko kote hajaweka social distance wala kuvaa barakoa, iweje leo atwambie kwenye TV ya Kenya kuwa Tanzania kuna Korona nyingi na kuwataka watu wavae barakoa na kuweka social distance?. Kitu kimoja ambacho Lissu lazima akielewe ni kwamba Magufuli pamoja na kuhandle issue ya Korona kwa tofauti sana, amejitahidi sana kuspin situation nchini ilivyo kwa kuvurugavuruga channel rasmi za taarifa kiasi kwamba leo ni vigumu kujua hali halisi ya Korona nchini, hata hivyo kitu kimoja kilicho obvious ni kwamba Magufuli ana ratings kubwa ajabu miongoni mwa wananchi kwa jinsi alivyohandle issue hii ya Korona japo jinsi alivyoihsndle siyo kisayansi. Kwa hiyo Lissu wakati anaongea haya ajue anaongea na Watanzania wa namna gani, Wengi hawawezi kumuunga mkono unless aje na data zisizoweza kutiliwa shaka hata kidogo. Ila hii ya kupinga bila data inawafanya wananchi wamuondolee credibility
3. Issue ya Wimbo wa Taifa pia haikuwa sahihi Lissu kuitolea comment. Ilitakiwa chama chenyewe ndo kiseme. Kama tulivyokwishajadili humu, Kuna makosa ya Kisiasa na makosa ya kisheria. Issue ya Wimbo wa Taifa ni Issue ya Kisiasa na Kijamii. Siyo lazima kila kanuni iandikwe kwenye vitabu vya sheria. Wananchi wanauheshimu wimbo wao wa Taifa, wimbo huo kwao unasymbolize Taifa moja na kwa wananchi wimbo huo upo juu ya vikundi vya watu kama vile vyama vya siasa n. k. Sasa kitendo cha kutetea kubadili matumizi ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama ndani yake kunatuma meseji kuwa hawa watu ni wapenda fujo, wasiofuata taratitibu.
Utetezi kuwa mbona UVCCM nao waliimba tofauti hausaidii, maana wananchi wanajua kuwa uongozi wa Juu wa vyama ndiyo wenye kuwakilisha misimamo halisi ya vyama na siyo hao watoto wa UVCCM. Kwa hiyo inapotokea viongozi wa Chadema wanafanya makosa kama haya, halafu Lissu anatetea, inatuma meseji kuwa huyu ni. mpenda vurugu, moenda malumbano, kwa hiyo wanamshusha hadhi
Nina mapendekezo yafuatayo kwa Lissu na Chadema
1. Lissu anza kuzungumzia issues, ili watu waone una substance zilizoshiba zile zinazohusu ugali wa wananchi zaidi
2.Kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CHADEMA lazima mcoordinate anachozungumza Lissu kwenye Vyombo vya habari, fahamuni kuna vyombo vitajaribu kumframe ili kuzungumza vitu ambavyo atatoa boko halafu vitumike kisiasa dhidi yake na Chadema ili kuwadiscredit mbele ya wananchi.
3. Lissu, kuwa confident kama ulivyo ila kuwa humble zaidi, wananchi hawapendi arrogance, overconfidence
4. Lissu una mtaji wa huruma ya wananchi, itumie hiyo vizuri kukusaidia kwenye kampeni, Fahamu kwamba kila aliyesikitika na tukio lililokufika ni potential voter wako. Kila aliyetoa senti yake kwako ni potential voter wako, na kila sliyekuombea dua ni potential voter wako. Lakini cha kufanya, ni kuhakikisha watu wanakuona katika positive light
5. Ndani ya Chadema najua chama kipo kwenye paralyisis namna gani ya kumuweka Lisu kwenye msitari, hakijajua kitamuwekaje sawa ili acheze katika mistari ya hulka za taswira ya rais. Sasa inabidi watafute namna ya kuliweka sawa hilo jambo
Kiufupi CCM walikuwa kwenye shock namna ya kuhandle umaarufu wa Lissu, ila inavyoonekana wameanza kutoboa matobo kidogokidogo katika haiba ya Lissu, Chadema na Lissu wawe makini na stratergy hii ya CCM.
Lissu kwenye hoja hasa za kisheria, haki za binadamu na katiba hakuna ndani ya CCM anayemuweza, ila wenzie ni wajuzi sana wa siasa, wanajua namna ya kumanipulate mtu wa chini kabisa hata kwa propaganda ili awaunge mkono. Kwa hiyo Lissu inabidi anyanyue zaidi game yake kuliko ilivyo sasa.
Hata hivyo bado hajawa mgombea bado. Mbona mnataka kumpa majukum wakti muda bado??WEWE UNATAKA AZUNGUMZIE AJENDA ALIYONAYO KWA NCHI KWA UREFU KWANI KAMPENI ZIMEANZA MKUU?
Amekua akitoa just glimpse ya yale anayokwenda kuyasimamia
KIPENGA BADO TULIA MWANA,TUNASUBIRI TAREHE NI MTAA KWA MTAA,KONA KWA KONA MAN TO MAN,MAPEMA SAA NNE TUNAMCHAGUA MTANZANIA MWENZETU.Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake.
Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Makosa yenyewe ni yafuatayo
1. Hazungumzii kwa kirefu ana ajenda gani ya maendeleo kwa wananchi, kitu kimoja ambacho amekielezea kwa ufanisi sana ni kuhusu suala la katiba mpya na umuhimu wake, lakini Lissu anapwaya sana kwenye kuelezea Issues zinazohusu ugali mezani mwa wananchi, Lissu kwa mfano hawezi kuzungumza zaidi ya dakika moja kuhusu mkulima na kilimo chake, mfanyakazi wa umma na maslahi yake, Elimu na namna ya kuiboresha, wavuvi na uvuvi wao, Wamachinga, miundo mbinu, Lissu haarticulate vizuri hizo issues. Lissu hazungumzii Ufisadi kabisa na kwamba ana mpango gani wa kukomesha rushwa, ufisadi na plan ipi aliyokuwa nayo juu ya Taifa ili kunufaika na rasilimali zake
2. Pili Suala la kuponda hali ya COVID-19 nchini na kudai ipo sana na kulizungumza bila ushahidi wa Data, na kuongea kitu ambacho yeye binafsi hatekelezi, inamuexpose kama mwanasiasa msema chochote ilimradi kusema lakini hasimamii anachokisema. Tangu Lissu aje, ameonekana kwenye mikusanyiko ya watu wengi, ndani ya vikao vya chama, kwenye mapokezi yake n. k, huko kote hajaweka social distance wala kuvaa barakoa, iweje leo atwambie kwenye TV ya Kenya kuwa Tanzania kuna Korona nyingi na kuwataka watu wavae barakoa na kuweka social distance?. Kitu kimoja ambacho Lissu lazima akielewe ni kwamba Magufuli pamoja na kuhandle issue ya Korona kwa tofauti sana, amejitahidi sana kuspin situation nchini ilivyo kwa kuvurugavuruga channel rasmi za taarifa kiasi kwamba leo ni vigumu kujua hali halisi ya Korona nchini, hata hivyo kitu kimoja kilicho obvious ni kwamba Magufuli ana ratings kubwa ajabu miongoni mwa wananchi kwa jinsi alivyohandle issue hii ya Korona japo jinsi alivyoihsndle siyo kisayansi. Kwa hiyo Lissu wakati anaongea haya ajue anaongea na Watanzania wa namna gani, Wengi hawawezi kumuunga mkono unless aje na data zisizoweza kutiliwa shaka hata kidogo. Ila hii ya kupinga bila data inawafanya wananchi wamuondolee credibility
3. Issue ya Wimbo wa Taifa pia haikuwa sahihi Lissu kuitolea comment. Ilitakiwa chama chenyewe ndo kiseme. Kama tulivyokwishajadili humu, Kuna makosa ya Kisiasa na makosa ya kisheria. Issue ya Wimbo wa Taifa ni Issue ya Kisiasa na Kijamii. Siyo lazima kila kanuni iandikwe kwenye vitabu vya sheria. Wananchi wanauheshimu wimbo wao wa Taifa, wimbo huo kwao unasymbolize Taifa moja na kwa wananchi wimbo huo upo juu ya vikundi vya watu kama vile vyama vya siasa n. k. Sasa kitendo cha kutetea kubadili matumizi ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama ndani yake kunatuma meseji kuwa hawa watu ni wapenda fujo, wasiofuata taratitibu.
Utetezi kuwa mbona UVCCM nao waliimba tofauti hausaidii, maana wananchi wanajua kuwa uongozi wa Juu wa vyama ndiyo wenye kuwakilisha misimamo halisi ya vyama na siyo hao watoto wa UVCCM. Kwa hiyo inapotokea viongozi wa Chadema wanafanya makosa kama haya, halafu Lissu anatetea, inatuma meseji kuwa huyu ni. mpenda vurugu, moenda malumbano, kwa hiyo wanamshusha hadhi
Nina mapendekezo yafuatayo kwa Lissu na Chadema
1. Lissu anza kuzungumzia issues, ili watu waone una substance zilizoshiba zile zinazohusu ugali wa wananchi zaidi
2.Kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CHADEMA lazima mcoordinate anachozungumza Lissu kwenye Vyombo vya habari, fahamuni kuna vyombo vitajaribu kumframe ili kuzungumza vitu ambavyo atatoa boko halafu vitumike kisiasa dhidi yake na Chadema ili kuwadiscredit mbele ya wananchi.
3. Lissu, kuwa confident kama ulivyo ila kuwa humble zaidi, wananchi hawapendi arrogance, overconfidence
4. Lissu una mtaji wa huruma ya wananchi, itumie hiyo vizuri kukusaidia kwenye kampeni, Fahamu kwamba kila aliyesikitika na tukio lililokufika ni potential voter wako. Kila aliyetoa senti yake kwako ni potential voter wako, na kila sliyekuombea dua ni potential voter wako. Lakini cha kufanya, ni kuhakikisha watu wanakuona katika positive light
5. Ndani ya Chadema najua chama kipo kwenye paralyisis namna gani ya kumuweka Lisu kwenye msitari, hakijajua kitamuwekaje sawa ili acheze katika mistari ya hulka za taswira ya rais. Sasa inabidi watafute namna ya kuliweka sawa hilo jambo
Kiufupi CCM walikuwa kwenye shock namna ya kuhandle umaarufu wa Lissu, ila inavyoonekana wameanza kutoboa matobo kidogokidogo katika haiba ya Lissu, Chadema na Lissu wawe makini na stratergy hii ya CCM.
Lissu kwenye hoja hasa za kisheria, haki za binadamu na katiba hakuna ndani ya CCM anayemuweza, ila wenzie ni wajuzi sana wa siasa, wanajua namna ya kumanipulate mtu wa chini kabisa hata kwa propaganda ili awaunge mkono. Kwa hiyo Lissu inabidi anyanyue zaidi game yake kuliko ilivyo sasa.
Kwamba Lissu akifanya vibaya utaimia au utafurahi. Yaani unajisikiaje Lissu akishauriwa asifanye makosa ya kumkosesha urais?? Acha unafiki. Pongezi zako hazina nafasi hapaMwenye masikio na asikie. Fair enough commred [emoji119]
Najua hawezi kushinda lakini tunataka real challenge ...Hata yeye anajua hawezi kushinda ila anatengeneza historia tu.Kwamba Lissu akifanya vibaya utaimia au utafurahi. Yaani unajisikiaje Lissu akishauriwa asifanye makosa ya kumkosesha urais?? Acha unafiki. Pongezi zako hazina nafasi hapa
Mkuu unakosea sana kudhania Lissu hafikirii hatashinda, Lissu yupo delusional sana kama Pythagoras wanadhani atashinda uraisi.Najua hawezi kushinda lakini tunataka real challenge ...Hata yeye anajua hawezi kushinda ila anatengeneza historia tu.
Acha dharau dogo..Bashite umfananishe na Lissu???kuwa serious kidogoTatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
Naunga mkono hoja yako kwa 100%Lissu mkuu huu ni mtego wanataka uanze zungumzia mambo ya ilani wakuwekee pingamizi kwamba umeanza kupiga kampeni mapema nakushauri usidhubutu hata kidogo maana kunadi ilani za vyama ni kwenye majukwaa na mda bado ukifika mda wake ndo uweke ngoma uwanjani kwa sasa zungumza mambo mengine maana zipo siku 60 za kunadi ilani za vyama na mda bado wala kipindi hiki kabla ya tarehe usika ya kufungua kampen usidhubutu na najua walitambua hilo watu sio wazuri wanakutafuta uingie kwenye kumi na nane wakupige pingamizi
Wewe una chuki binafsi na huenda wewe ndiyo ulikwenda Dodoma kutaka kumuua acha roho mbayaMACHADEMA YATAPINGA ILA UO NDIO UKWELI ULIOUSEMA
MIMI KWANGU LISU HANA SIFA ZA KUWA RAISI NI BORA MBOWE ANGEGOMBEA ILA LISU NI BORA NIMPIGIE KURA MAGU TU [emoji123]
Wewe una chuki binafsi na huenda wewe ndiyo ulikwenda Dodoma kutaka kumuua acha roho mbaya
At least wewe umechukua muda kunyambulisha mapungufu ya Lissu; ni makubwa sana kisiasa. Nadhani anatagemea kura za huruma tu na za wale wanaomchukia magufuli, lakini uchaguzi katika nchi yenye watu takriban milion 60 hauendi vile. Yeye tayari ameanza kwa kujionyesha kuwa hana busara, ni mropokaji, hajui anasimamia nini, bali anajua tu kuwa anampinga magufuli; hiyo siyo sera. Neno Haki za binadamu na katiba mpya ni neno zuri, lakini siyo marketing tool ya uchaguzi. Kwa kuonyesha weaknesses zake mapema mno, ni kweli watu watazi-exploit sana, na kwa vile yeye mwenyewe ni thin-skinned, siyo vigumu kwake kuimplode, jambo linaloweza kumpa maumivu zaidi.Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake.
Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Makosa yenyewe ni yafuatayo
1. Hazungumzii kwa kirefu ana ajenda gani ya maendeleo kwa wananchi, kitu kimoja ambacho amekielezea kwa ufanisi sana ni kuhusu suala la katiba mpya na umuhimu wake, lakini Lissu anapwaya sana kwenye kuelezea Issues zinazohusu ugali mezani mwa wananchi, Lissu kwa mfano hawezi kuzungumza zaidi ya dakika moja kuhusu mkulima na kilimo chake, mfanyakazi wa umma na maslahi yake, Elimu na namna ya kuiboresha, wavuvi na uvuvi wao, Wamachinga, miundo mbinu, Lissu haarticulate vizuri hizo issues. Lissu hazungumzii Ufisadi kabisa na kwamba ana mpango gani wa kukomesha rushwa, ufisadi na plan ipi aliyokuwa nayo juu ya Taifa ili kunufaika na rasilimali zake
2. Pili Suala la kuponda hali ya COVID-19 nchini na kudai ipo sana na kulizungumza bila ushahidi wa Data, na kuongea kitu ambacho yeye binafsi hatekelezi, inamuexpose kama mwanasiasa msema chochote ilimradi kusema lakini hasimamii anachokisema. Tangu Lissu aje, ameonekana kwenye mikusanyiko ya watu wengi, ndani ya vikao vya chama, kwenye mapokezi yake n. k, huko kote hajaweka social distance wala kuvaa barakoa, iweje leo atwambie kwenye TV ya Kenya kuwa Tanzania kuna Korona nyingi na kuwataka watu wavae barakoa na kuweka social distance?. Kitu kimoja ambacho Lissu lazima akielewe ni kwamba Magufuli pamoja na kuhandle issue ya Korona kwa tofauti sana, amejitahidi sana kuspin situation nchini ilivyo kwa kuvurugavuruga channel rasmi za taarifa kiasi kwamba leo ni vigumu kujua hali halisi ya Korona nchini, hata hivyo kitu kimoja kilicho obvious ni kwamba Magufuli ana ratings kubwa ajabu miongoni mwa wananchi kwa jinsi alivyohandle issue hii ya Korona japo jinsi alivyoihsndle siyo kisayansi. Kwa hiyo Lissu wakati anaongea haya ajue anaongea na Watanzania wa namna gani, Wengi hawawezi kumuunga mkono unless aje na data zisizoweza kutiliwa shaka hata kidogo. Ila hii ya kupinga bila data inawafanya wananchi wamuondolee credibility
3. Issue ya Wimbo wa Taifa pia haikuwa sahihi Lissu kuitolea comment. Ilitakiwa chama chenyewe ndo kiseme. Kama tulivyokwishajadili humu, Kuna makosa ya Kisiasa na makosa ya kisheria. Issue ya Wimbo wa Taifa ni Issue ya Kisiasa na Kijamii. Siyo lazima kila kanuni iandikwe kwenye vitabu vya sheria. Wananchi wanauheshimu wimbo wao wa Taifa, wimbo huo kwao unasymbolize Taifa moja na kwa wananchi wimbo huo upo juu ya vikundi vya watu kama vile vyama vya siasa n. k. Sasa kitendo cha kutetea kubadili matumizi ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama ndani yake kunatuma meseji kuwa hawa watu ni wapenda fujo, wasiofuata taratitibu.
Utetezi kuwa mbona UVCCM nao waliimba tofauti hausaidii, maana wananchi wanajua kuwa uongozi wa Juu wa vyama ndiyo wenye kuwakilisha misimamo halisi ya vyama na siyo hao watoto wa UVCCM. Kwa hiyo inapotokea viongozi wa Chadema wanafanya makosa kama haya, halafu Lissu anatetea, inatuma meseji kuwa huyu ni. mpenda vurugu, moenda malumbano, kwa hiyo wanamshusha hadhi
Nina mapendekezo yafuatayo kwa Lissu na Chadema
1. Lissu anza kuzungumzia issues, ili watu waone una substance zilizoshiba zile zinazohusu ugali wa wananchi zaidi
2.Kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CHADEMA lazima mcoordinate anachozungumza Lissu kwenye Vyombo vya habari, fahamuni kuna vyombo vitajaribu kumframe ili kuzungumza vitu ambavyo atatoa boko halafu vitumike kisiasa dhidi yake na Chadema ili kuwadiscredit mbele ya wananchi.
3. Lissu, kuwa confident kama ulivyo ila kuwa humble zaidi, wananchi hawapendi arrogance, overconfidence
4. Lissu una mtaji wa huruma ya wananchi, itumie hiyo vizuri kukusaidia kwenye kampeni, Fahamu kwamba kila aliyesikitika na tukio lililokufika ni potential voter wako. Kila aliyetoa senti yake kwako ni potential voter wako, na kila sliyekuombea dua ni potential voter wako. Lakini cha kufanya, ni kuhakikisha watu wanakuona katika positive light
5. Ndani ya Chadema najua chama kipo kwenye paralyisis namna gani ya kumuweka Lisu kwenye msitari, hakijajua kitamuwekaje sawa ili acheze katika mistari ya hulka za taswira ya rais. Sasa inabidi watafute namna ya kuliweka sawa hilo jambo
Kiufupi CCM walikuwa kwenye shock namna ya kuhandle umaarufu wa Lissu, ila inavyoonekana wameanza kutoboa matobo kidogokidogo katika haiba ya Lissu, Chadema na Lissu wawe makini na stratergy hii ya CCM.
Lissu kwenye hoja hasa za kisheria, haki za binadamu na katiba hakuna ndani ya CCM anayemuweza, ila wenzie ni wajuzi sana wa siasa, wanajua namna ya kumanipulate mtu wa chini kabisa hata kwa propaganda ili awaunge mkono. Kwa hiyo Lissu inabidi anyanyue zaidi game yake kuliko ilivyo sasa.
Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake.

Hakuna mtoto anafurahis kifo mtoto siku zote ni malaika wewe Mbona unafikiria kama darasa la pili? Je ungefika hata darasa la nne si ungekuwa mvuta Bangi maarufu vijiweni kote na hasa gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz, acha roho mbaya uchawi utakusaidia nini?Acha utoto wewe akifa uyo mmoja kuponya taifa lenye watu mingi shida iko wap acha kufikili kanakwamba darasa la saba vile aya tangu kaja uyo mlia lia wako kaongea jambo gani la maana au ilo la kununua kuku kwa laki ndio umevutiwa nalo alaaah
Aanze kuzungumzia ili team Magufuli mkopi kama mlivyokopi msimu ule hadi slogan ya M4C??Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake.
Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Makosa yenyewe ni yafuatayo
1. Hazungumzii kwa kirefu ana ajenda gani ya maendeleo kwa wananchi, kitu kimoja ambacho amekielezea kwa ufanisi sana ni kuhusu suala la katiba mpya na umuhimu wake, lakini Lissu anapwaya sana kwenye kuelezea Issues zinazohusu ugali mezani mwa wananchi, Lissu kwa mfano hawezi kuzungumza zaidi ya dakika moja kuhusu mkulima na kilimo chake, mfanyakazi wa umma na maslahi yake, Elimu na namna ya kuiboresha, wavuvi na uvuvi wao, Wamachinga, miundo mbinu, Lissu haarticulate vizuri hizo issues. Lissu hazungumzii Ufisadi kabisa na kwamba ana mpango gani wa kukomesha rushwa, ufisadi na plan ipi aliyokuwa nayo juu ya Taifa ili kunufaika na rasilimali zake
2. Pili Suala la kuponda hali ya COVID-19 nchini na kudai ipo sana na kulizungumza bila ushahidi wa Data, na kuongea kitu ambacho yeye binafsi hatekelezi, inamuexpose kama mwanasiasa msema chochote ilimradi kusema lakini hasimamii anachokisema. Tangu Lissu aje, ameonekana kwenye mikusanyiko ya watu wengi, ndani ya vikao vya chama, kwenye mapokezi yake n. k, huko kote hajaweka social distance wala kuvaa barakoa, iweje leo atwambie kwenye TV ya Kenya kuwa Tanzania kuna Korona nyingi na kuwataka watu wavae barakoa na kuweka social distance?. Kitu kimoja ambacho Lissu lazima akielewe ni kwamba Magufuli pamoja na kuhandle issue ya Korona kwa tofauti sana, amejitahidi sana kuspin situation nchini ilivyo kwa kuvurugavuruga channel rasmi za taarifa kiasi kwamba leo ni vigumu kujua hali halisi ya Korona nchini, hata hivyo kitu kimoja kilicho obvious ni kwamba Magufuli ana ratings kubwa ajabu miongoni mwa wananchi kwa jinsi alivyohandle issue hii ya Korona japo jinsi alivyoihsndle siyo kisayansi. Kwa hiyo Lissu wakati anaongea haya ajue anaongea na Watanzania wa namna gani, Wengi hawawezi kumuunga mkono unless aje na data zisizoweza kutiliwa shaka hata kidogo. Ila hii ya kupinga bila data inawafanya wananchi wamuondolee credibility
3. Issue ya Wimbo wa Taifa pia haikuwa sahihi Lissu kuitolea comment. Ilitakiwa chama chenyewe ndo kiseme. Kama tulivyokwishajadili humu, Kuna makosa ya Kisiasa na makosa ya kisheria. Issue ya Wimbo wa Taifa ni Issue ya Kisiasa na Kijamii. Siyo lazima kila kanuni iandikwe kwenye vitabu vya sheria. Wananchi wanauheshimu wimbo wao wa Taifa, wimbo huo kwao unasymbolize Taifa moja na kwa wananchi wimbo huo upo juu ya vikundi vya watu kama vile vyama vya siasa n. k. Sasa kitendo cha kutetea kubadili matumizi ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama ndani yake kunatuma meseji kuwa hawa watu ni wapenda fujo, wasiofuata taratitibu.
Utetezi kuwa mbona UVCCM nao waliimba tofauti hausaidii, maana wananchi wanajua kuwa uongozi wa Juu wa vyama ndiyo wenye kuwakilisha misimamo halisi ya vyama na siyo hao watoto wa UVCCM. Kwa hiyo inapotokea viongozi wa Chadema wanafanya makosa kama haya, halafu Lissu anatetea, inatuma meseji kuwa huyu ni. mpenda vurugu, moenda malumbano, kwa hiyo wanamshusha hadhi
Nina mapendekezo yafuatayo kwa Lissu na Chadema
1. Lissu anza kuzungumzia issues, ili watu waone una substance zilizoshiba zile zinazohusu ugali wa wananchi zaidi
2.Kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CHADEMA lazima mcoordinate anachozungumza Lissu kwenye Vyombo vya habari, fahamuni kuna vyombo vitajaribu kumframe ili kuzungumza vitu ambavyo atatoa boko halafu vitumike kisiasa dhidi yake na Chadema ili kuwadiscredit mbele ya wananchi.
3. Lissu, kuwa confident kama ulivyo ila kuwa humble zaidi, wananchi hawapendi arrogance, overconfidence
4. Lissu una mtaji wa huruma ya wananchi, itumie hiyo vizuri kukusaidia kwenye kampeni, Fahamu kwamba kila aliyesikitika na tukio lililokufika ni potential voter wako. Kila aliyetoa senti yake kwako ni potential voter wako, na kila sliyekuombea dua ni potential voter wako. Lakini cha kufanya, ni kuhakikisha watu wanakuona katika positive light
5. Ndani ya Chadema najua chama kipo kwenye paralyisis namna gani ya kumuweka Lisu kwenye msitari, hakijajua kitamuwekaje sawa ili acheze katika mistari ya hulka za taswira ya rais. Sasa inabidi watafute namna ya kuliweka sawa hilo jambo
Kiufupi CCM walikuwa kwenye shock namna ya kuhandle umaarufu wa Lissu, ila inavyoonekana wameanza kutoboa matobo kidogokidogo katika haiba ya Lissu, Chadema na Lissu wawe makini na stratergy hii ya CCM.
Lissu kwenye hoja hasa za kisheria, haki za binadamu na katiba hakuna ndani ya CCM anayemuweza, ila wenzie ni wajuzi sana wa siasa, wanajua namna ya kumanipulate mtu wa chini kabisa hata kwa propaganda ili awaunge mkono. Kwa hiyo Lissu inabidi anyanyue zaidi game yake kuliko ilivyo sasa.
Hayo n mawazo yako,walimshindwa kwenye hoja wakaamua wachumkue mtutuTatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
Kampeni bado mda huu ni kuongea chochote kwa ajili ya kumchanganya mtukufu ajue moto unakuja, subiria kampeni zianze utasikia sera nzuri mipango bora bila kusahau utetezi wa haki za binadamu, watumishi wa umma na mengineyo mengi mazuri zaidi, acheni kumlazimisha Lisu aanze kuongea mipango yake mapema awape nafasi CCM kujipanga.At least wewe umechukua muda kunyambulisha mapungufu ya Lissu; ni makubwa sana kisiasa. Nadhani anatagemea kura za huruma tu na za wale wanaomchukia magufuli, lakini uchaguzi katika nchi yenye watu takriban milion 60 hauendi vile. Yeye tayari ameanza kwa kujionyesha kuwa hana busara, ni mropokaji, hajui anasimamia nini, bali anajua tu kuwa anampinga magufuli; hiyo siyo sera. Neno Haki za binadamu na katiba mpya ni neno zuri, lakini siyo marketing tool ya uchaguzi. Kwa kuonyesha weaknesses zake mapema mno, ni kweli watu watazi-exploit sana, na kwa vile yeye mwenyewe ni thin-skinned, siyo vigumu kwake kuimplode, jambo linaloweza kumpa maumivu zaidi.
Lisu lazima afiche sera zake mpaka kampeni ikianza ndipo ataanza kushusha nondo vizuri, mda huu anawavuruga CCM wapagawe kwanzaAanze kuzungumzia ili team Magufuli mkopi kama mlivyokopi msimu ule hadi slogan ya M4C??
Asante; angekuwa na busara angenyamaza kusubiri kampeini zianze kuliko kudisplay weakenesses zake mapema namna hiyo ambazo wengi watazitumia againsit him mbele ya wanachi. Miranda rights zinasema: "You have the right to remain silent; whatever you say can and will be used against you in court of law; ...."Kampeni bado mda huu ni kuongea chochote kwa ajili ya kumchanganya mtukufu ajue moto unakuja, subiria kampeni zianze utasikia sera nzuri mipango bora bila kusahau utetezi wa haki za binadamu, watumishi wa umma na mengineyo mengi mazuri zaidi, acheni kumlazimisha Lisu aanze kuongea mipango yake mapema awape nafasi CCM kujipanga.