Uchaguzi 2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

Mwenye masikio na asikie. Fair enough commred [emoji119]
 
WEWE UNATAKA AZUNGUMZIE AJENDA ALIYONAYO KWA NCHI KWA UREFU KWANI KAMPENI ZIMEANZA MKUU?
Amekua akitoa just glimpse ya yale anayokwenda kuyasimamia
Hata hivyo bado hajawa mgombea bado. Mbona mnataka kumpa majukum wakti muda bado??
 
KIPENGA BADO TULIA MWANA,TUNASUBIRI TAREHE NI MTAA KWA MTAA,KONA KWA KONA MAN TO MAN,MAPEMA SAA NNE TUNAMCHAGUA MTANZANIA MWENZETU.
 
Mwenye masikio na asikie. Fair enough commred [emoji119]
Kwamba Lissu akifanya vibaya utaimia au utafurahi. Yaani unajisikiaje Lissu akishauriwa asifanye makosa ya kumkosesha urais?? Acha unafiki. Pongezi zako hazina nafasi hapa
 
Kwamba Lissu akifanya vibaya utaimia au utafurahi. Yaani unajisikiaje Lissu akishauriwa asifanye makosa ya kumkosesha urais?? Acha unafiki. Pongezi zako hazina nafasi hapa
Najua hawezi kushinda lakini tunataka real challenge ...Hata yeye anajua hawezi kushinda ila anatengeneza historia tu.
 
Najua hawezi kushinda lakini tunataka real challenge ...Hata yeye anajua hawezi kushinda ila anatengeneza historia tu.
Mkuu unakosea sana kudhania Lissu hafikirii hatashinda, Lissu yupo delusional sana kama Pythagoras wanadhani atashinda uraisi.

Lissu anaweza kushinda iwapo tu atabadilika na kuacha kutoa boko ovyo, kupunguza jaziba, mihemko na kuhisi anajua kila kitu kuliko watu wote.
 
Tatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
Acha dharau dogo..Bashite umfananishe na Lissu???kuwa serious kidogo
 
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
MACHADEMA YATAPINGA ILA UO NDIO UKWELI ULIOUSEMA


MIMI KWANGU LISU HANA SIFA ZA KUWA RAISI NI BORA MBOWE ANGEGOMBEA ILA LISU NI BORA NIMPIGIE KURA MAGU TU [emoji123]
Wewe una chuki binafsi na huenda wewe ndiyo ulikwenda Dodoma kutaka kumuua acha roho mbaya
 
Wewe una chuki binafsi na huenda wewe ndiyo ulikwenda Dodoma kutaka kumuua acha roho mbaya

Acha utoto wewe akifa uyo mmoja kuponya taifa lenye watu mingi shida iko wap acha kufikili kanakwamba darasa la saba vile aya tangu kaja uyo mlia lia wako kaongea jambo gani la maana au ilo la kununua kuku kwa laki ndio umevutiwa nalo alaaah
 
Kampeni bado Lisu anayo mengi mno anazo kero za taasisi za umma zote anayo madhambi yote yaliyofichwa kwa miaka 5 pindi magufuli kazuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba ya mfumo wa vyama vingi, acheni kumlazimisha aongee sera zake mapema, subiria kampeni zianze mtasikia mengi mpaka wengine watabakia kushangaa kama siyo kusinzia
 
At least wewe umechukua muda kunyambulisha mapungufu ya Lissu; ni makubwa sana kisiasa. Nadhani anatagemea kura za huruma tu na za wale wanaomchukia magufuli, lakini uchaguzi katika nchi yenye watu takriban milion 60 hauendi vile. Yeye tayari ameanza kwa kujionyesha kuwa hana busara, ni mropokaji, hajui anasimamia nini, bali anajua tu kuwa anampinga magufuli; hiyo siyo sera. Neno Haki za binadamu na katiba mpya ni neno zuri, lakini siyo marketing tool ya uchaguzi. Kwa kuonyesha weaknesses zake mapema mno, ni kweli watu watazi-exploit sana, na kwa vile yeye mwenyewe ni thin-skinned, siyo vigumu kwake kuimplode, jambo linaloweza kumpa maumivu zaidi.
 

Mtoa mada nakushukuru kwa uzi sahihi wakati sahihi. TL atumie taswira ya wajumbe hasa wa CCM ndipo atapata picha kamili ya wahamasishaji wa wapiga kura ktk ngazi za wananchi wa kawaida. Ni hivi: mambo anayojaribu kuyafafanua mh. Lisu ni ya msingi na ukweli mtupu. Lakini si mepesi kueleweka kwa muda wa siku 60 kwa watanzania walio wengi. CCM wanatumia weakness hii kuwalisha cheap politics, mf. kutumwa na mabeberu, mara kuharibu wimbo wa taifa, kununua mandege, kujenga reli, flyover, kwenda kuuza mitumba nje, n.k haya ndiyo mambo rahisi kueleweka kwa watanzania wengi kwasababu hawawezi kuevaluate namna gani mambo hayo yanareflect maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Kwa kifupi, watanzania wengi wanatafsiri maendeleo ktk material context na siyo mifumo inayowezesha hivyo vitu kutokea. Hivyo TL awe makini sana ktk kuconnect hoja zake na mazingira halisi hasa ukizingatia watanzania wengi elimu yao ni ndogo. TL asione haya kutumia cheap politics pale inapobidi, ajue audience yake ipo ktk matabaka. Na wapiga kura waaminifu wapo huko vijijini kabisa na hawakwenda shule.
 
Acha utoto wewe akifa uyo mmoja kuponya taifa lenye watu mingi shida iko wap acha kufikili kanakwamba darasa la saba vile aya tangu kaja uyo mlia lia wako kaongea jambo gani la maana au ilo la kununua kuku kwa laki ndio umevutiwa nalo alaaah
Hakuna mtoto anafurahis kifo mtoto siku zote ni malaika wewe Mbona unafikiria kama darasa la pili? Je ungefika hata darasa la nne si ungekuwa mvuta Bangi maarufu vijiweni kote na hasa gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz, acha roho mbaya uchawi utakusaidia nini?
 
Aanze kuzungumzia ili team Magufuli mkopi kama mlivyokopi msimu ule hadi slogan ya M4C??
 
Tatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
Hayo n mawazo yako,walimshindwa kwenye hoja wakaamua wachumkue mtutu
 
Kampeni bado mda huu ni kuongea chochote kwa ajili ya kumchanganya mtukufu ajue moto unakuja, subiria kampeni zianze utasikia sera nzuri mipango bora bila kusahau utetezi wa haki za binadamu, watumishi wa umma na mengineyo mengi mazuri zaidi, acheni kumlazimisha Lisu aanze kuongea mipango yake mapema awape nafasi CCM kujipanga.
 
Aanze kuzungumzia ili team Magufuli mkopi kama mlivyokopi msimu ule hadi slogan ya M4C??
Lisu lazima afiche sera zake mpaka kampeni ikianza ndipo ataanza kushusha nondo vizuri, mda huu anawavuruga CCM wapagawe kwanza
 
Asante; angekuwa na busara angenyamaza kusubiri kampeini zianze kuliko kudisplay weakenesses zake mapema namna hiyo ambazo wengi watazitumia againsit him mbele ya wanachi. Miranda rights zinasema: "You have the right to remain silent; whatever you say can and will be used against you in court of law; ...."

Kipenga cha mwisho ni October 28. Mbivu na mbichi zitaonekana siku hiyo; tusiandikie mate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…