Uchaguzi 2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

CCM wanasaka kisingizio cha kumpakazia kaanza kampeni mapema wapate kumwekea pingamizi NEC Lisu anasubiria kamati kuu ya CCM Dodoma iwaengue wagombea walioshinda kura za maoni kwa haki kisha wakatengenezewa mizengwe fitna wivu wamewapelekea report za chuki wameenguliwa kwa uonevu, hao ni mtaji mojawapo kwani watatoa msaada wa siri za CCM na pia watawapigia kura wapinzani, Lisu anazo sera za kutosha na pia anao wana CCM wengi wanaomuunga mkono wakiwemo watumishi wa umma waliokosa nyongeza ya mshahara kwa mda wa miaka mitano.
 
Kampeni zikianza, tunaomba CHADEMA mzingatie huu ushauri.
Kumbe na wewe Kuna nyakati huwa unakua na akili timamu?
Mliambiwa mfungue redio na tv zenu badala yake mkawa mnaponda ruzuku kwa kwenda picnic Mombasa na kufanya mikutano kwenye mahoteli ya kifahari
Huwezi kuchukia nchi kwa kuhutubia kupitia Facebook au Tv ya kenya
 

you really need a good education, nchi kama tz ni wealthy lakini kuna viwananchi kama wewe mnaonekana hasara kuwepo apa! ivi unadhan ivo vyooooote alivofanya ni kama 0 havina kazi? may you wait for your messiah and see how life will be for you
 
Ndio huyo chiba sasa ambae hana sera hajui hoja za kumkomboa mtanzania zaid umbea na majungu urais uwe na kitu kichwan very smart
Kuwa na kitu kuchwani ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuzuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba kuvunja Sheria za vyama vingi Uhuru wa kufanya siasa ni kuwa na kitu kuchwani, kurusu Majungu kwenye kura za maoni uchaguzi wa CCM ni kuwakomboa watanzania? Kupiga trilion 1.5 wakamtoa kafara CAG ni kumkomboa matanzania? Jibu haya maswali kwanza kabla sijakuongeza mengine
 
wale wasanii waliokua wanawatungia ukawa nyimbo za kampeni mbna siwaoni tena? hamjachelewa bado lakini tafuteni
 

Kumbuka hizo unazoziita petty issues ndizo zilizokua moja ya kero kubwa kwa wananchi na ndizo zilizompa Magu kura baada ya kuahidi kukabiliana nazo ktk uchaguzi uliopita, na sasa anaenda kushinda tena kwa kura nyingi baada ya kudhihirisha uwezo na dhamira yake ya kutatua kero hizo.
Huwezi kuanza kuongelea national health system wakati miundombinu toka ngazi za wilaya na kata ni mibovu.
Nilichokiona kwa sasa kutoka upinzani,hakuna agenda muhimu zinazogusa maisha ya mwananchi moja kwa moja kwani karibia agenda muhimu zote zilisha pokwa na ccm ndiomana hata huwezi kusikia akina Lissu au Zitto wakizungumzia kuhusu ufisadi au miundombinu n.k.
Hizi mambo za human rights,freedom of expression hazitoweza kuwavusha kwani ni nadharia tu lkn ki vitendo wananchi kwa ujumla hawajaathirika navyo.
 
Ni ushauri murwa sana mkuu, sio kila jambo La kujibu lissu, yako mengine wajibu viongozi wa chadema, pia siku ya kuzindua kampeni kila eneo lichambuliwe vizuri na mgombea.pia ilani isambazwe vizuri maeneo mbalimbali ili watu wajisomee isiwe kificho.
 
Hana maono, wala usiseme makosa ' nikwamba yeye uwezo wake umeishia hapo
 
Mkuu hii mada kubwa sana kwako.

Embu tuelezee sasa ni kwa namna ipi utaiondoa CCM madarakani ili 'usolve' kila tatizo linalo wakabiri watanzania?

Wachana na huyo,hana alijualo atakuchosha tu😆
 
Lisu lazima afiche sera zake mpaka kampeni ikianza ndipo ataanza kushusha nondo vizuri, mda huu anawavuruga CCM wapagawe kwanza

Anajivuruga mwenyewe😀
Subilini muone vumbi mtakalotimuliwa safari hii.
 
Ushauri mzuri sana wa mtu uliyekomaa kifikra na hekima ya hali ya juu
 
Missile of the Nation umetoa muongozo na ushauri mzuri sana kwa wakati sahihi. Shida ni kwa mlengwa na wapokeaji, je watakuelewa? Na hata akikuelewa wananchi watamuelewa? Watanzania tunajuana na wajumbe wamethibitisha
Tusubiri kampeni tusikie mipango yake na utekelezwaji kama itawezekana
 

Muda wa kuhitaji huduma za wana mikakati nguli kama kina David Axelrod ni sasa:

Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka
 
Keshapotea kwa kulopokalopoka
 
Lisu lazima afiche sera zake mpaka kampeni ikianza ndipo ataanza kushusha nondo vizuri, mda huu anawavuruga CCM wrwapagawe kwanza

Mnanikumbusha Mwalimu Nyerere alipokiuliza chama kimoja kuhusu sera zao wakamjibu kuwa "Mwalimu sera zetu ni siri" hahaha.

Acheni utani nyie, kuna matatizo common ambayo lazima yawemo kwenye Ilani ya Chama chochote kwa mfano tatizo la ajira. Sasa kama mgombea hawezi kuarticulate hilo tatizo na akaonyesha yeye ana mbinu gani za kutatua hilo tatizo basi hilo ni tatizo kubwa zaidi!

Kitu kingine ni kwamba hakuna Ilani inayomfundisha mgombea 100% namna ya kuitekeleza Ilani hiyo. Ni mgombea mwenyewe kwa upeo wake na vision yake ndo vinatoa muelekeo wa namna atakavyotekeleza hayo yaliyomo kwenye Ilani. Sasa Lissu anapwaya sana kwenye kuonyesha kuwa anajua priorities za wananchi ni zipi achilia mbali kuwa na idea ya namna ya kuzitatua!.
 
Ila me napata shaka pia kama CHADEMA wanampango mkakati wa pamoja kama chama kujua mgombea wao anaongeana na nani na anaongea nini. Ni kama vile ameachwa tu kujisema anachojiskia.
Lissu hakua chaguo la wenye chama,walitaka Nyalandu awe mgombea kwa sababu ana umate mate,Ila wajumbe Kama kawaida wakafanya yao
Wenye chama watamuacha lissu njiani tu,kampeni za urais so sawa na ubunge,kuzunguka nchi mzima kwa siku 63 Kijiji kwa Kijiji so kazi nyepesi na chadema hawakuweka wagombea nchi nzima
 
Tatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
yaelekea umesahau ile presser ya VoA that time ambapo Lissu alimhenyesha vilivyo yule balozi mwenye jazba wa Tanzania kule US. Lissu alionekana ni 100 times cooler than that balozi.

Lissu is a smart fella. watu wa kuwafyatukia anawajua na watu wa kuwaendea kwa pozi anawajua. it explains why even the current polls and the opposition camp suggest he's a more preferred presidential candidate than the supposedly diplomatic Membe.
 
Uchumi wako uko je
Maana unaweza kuta hata wewe kwenye familia yako ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…