Msaidie Musiba kulipa deni.Na wao ufisadi waliolifanyia taifa hili ni faraja kwa Watanzania sio!
🤣🤣🤣Madai ya Membe yalikuja kupitia Lumumba au Mahakamani?! Kama ni lumumba nenda kawapigie magoti akina Kinana Na chongolo. Usisumbue watu humu.
Huyu mzee wa goli la dakika ya 89 sioni ni namna gani atajijenga kisiasa kwa kumdai msiba bilioni 9, mimi naona itamfanya aonekane irrational......
Hivi kudhalilishwa kunaweza fananishwa na kiasi chochote Cha pesa?Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa
Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao
Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!
Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji
J.mosi njema
Hapana ila itakuwa kufundisho kwa musiba na wajinga wengine wa aina yakeHata kama, wewe unadhani bilion 9 ndio faraja kwao?
Kwani mahakama ni Mungu..si watu kama mimi na wewe, tena usikute hata wewe unawapita akili na uelewa,sema maisha, connection, mazingira yamewakuta wako pale...Mahakama imemuona ANASTAHILI, who are you?
Unaumia? Hutaki alipwe? Wangapi hapa duniani wamelipwa kwa kesi kama yake ila yeye hutaki alipwe? Mlipo kiwa mnamtudi hamkujua madhara yake?Hata kama, wewe unadhani bilion 9 ndio faraja kwao?
Hutaki alipwe? Kwanini?Kwani mahakama ni Mungu..si watu kama mimi na wewe, tena usikute hata wewe unawapita akili na uelewa,sema maisha, connection, mazingira yamewakuta wako pale...
Pia tofautisha kati ya sheria na Haki...sio kila takwa la kisheria au maaumuzi ya mahakama ni haki...
Mtoa mada sababu huna akili na hujapenda kushughulisha akili yako na hujapenda kujipanga ngoja tukupange sasa.. Iko hiviSitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa
Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao
Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!
Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji
J.mosi njema
😂Ama kweli wewe unaliwa Kisamvu
Kwani Membe Yale mabilion ya Gadafi alirudisha?Kwa mtu kama Musiba,ikitolewa hukumu ya kulipa Milioni 100 bado ni kubwa sana kwake.
Bilioni 9 hapo Membe alitumia Rushwa na influence yake kwa Majaji Ili kutoa hukumu ya kumkandamiza Musiba.
Kesi ya defamation unaweza lipishwa hata billion 900, unakumbuka ile kesi ya Mengi na Manji km sijakosea Mengi aliombwa kulipwa cent 5 tu sio shilling cent 5 na Kesi iliishia hapo, defamation unaiomba Mahakama ulipwe kutokana na damage ulizozipata baada ya kuchafuliwa hata billion 900 ikiwezekenaFine ya 9B kwa Musiba dhidi ya Bwana Membe ni kubwa kweli tena kubwa sana sana na hii imetolewa kwa kuweka sawa Musiba ili akutane na kifungo jela
Mahakama ndiyo imetoa hukumu hiyo ,mngemsaidia sana Musiba kukata rufaa kuliko haya malaamiko yenu mitandaoni hayadaidii kituSitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa
Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao
Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!
Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji
J.mosi njema
Hata akikata rufaa RUNGU lipo pale pale tena inaweza ikapaa, ukashangaa anaambiwa alipe billion 20Mahakama ndiyo imetoa hukumu hiyo ,mngemsaidia sana Musiba kukata rufaa kuliko haya malaamiko yenu mitandaoni hayadaidii kitu
Wewe una akili zaidi ya mahakama iliyotoa hukumu Ile?! Kama madai ya Membe hayafanani na damages aliyopata ingemshauri vinginevyo.