Maktaba ya Utalii

Maktaba ya Utalii

UTALII TANZANIA

653602ea0b4bcdbff34f3218b30a3107.png

ELEPHANT SHREW.
Tembea uone mengi. Yakufurahisha na kuvutia ni mengi lakini ni vile tunakosa mda na kutokuwa na interest juu ya mambo flani. Anyways ni kipendacho roho.

Elephant Shrew
Huyu ni mnyama mdogo ana umbo kama la panya yupo kwenye kundi la mamalia. Kwa jina lingine hufahamika kama Sengi Sengi ni neno la kiswahili). Hupatikana maeneo mbalimbali lakini pia Tanzania wapo.
Ana urefu wa inch 10-30 na uzito usiopungua kilo 0.7kg.

Ana mdomo mrefu uliokaa kama mkonga wa tembo. Huwa anautumia kwa mambo mbalimbali kama kula chakula, kuchimba. Chakula chake ni wadudu wadogo wadogo.

Sengi mkubwa kuliko wote duniani anapatikana kwenye hifadhi ya mlima Udzungwa mkoa wa Morogoro nchini Tanzania. Hufahamika kwa jina la Rhynchocyon Udzungwensis.
 
@thomasgrafxBeach-gard-1.jpg

Tembea uone mengi Tanzania kuna vingi vya kujivunia. Hii ni moja tour itayofanyika ndani ya Mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela, katika fukwe za Matema tarehe, 10/09/2022. Kama ni mkazi wa Mbeya na Maeneo yake karibu tujumuike pamoja kumwagilia mioyo ukisindikizwa na upepo mwanana wa Ziwa NYASA.

@wildlifeafrica_the_best @tomasgrafx.
@Palazzogardenresort
 
View attachment 2331281

Tour za kutafuta madanga tu
 
Mwalalo waterfalls (Mbeya_kyela_Matema)

IMG_20221006_122604_456.jpg

Kama wewe ni mkazi wa jiji la Mbeya natumaini hili eneo sio geni kwako ni moja ya maporomoko ya maji yanayopatikana ndani ya safu za milima ya Livingstone mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela eneo la matema beach. Hufahamika kwa jina la Mwalalo waterfalls.

IMG_20221001_181207.jpg

Mandhari yake ni shwari na tulivu yenye kuvutia sana, wageni wengi wanaotembelea fukwe za ziwa nyasa huwa wanapopata nafasi basi hufika juu ya safu izo ili kujionea yaliyo mengi yanayopatikana ndani ya milima iyo.

IMG_20221001_181744.jpg

Shughuli mbalimbali huwa zinafanyika ndani ya eneo ilo ikiwemo kupiga picha, kuogelea, kupanda milima, kutazama ndege na viumbe wengine kama nyani n.k.

Karibu ujionee yaliyo mengi ndani ya safu za milima ya Livingstone.
 
Mwalalo waterfalls (Mbeya_kyela_Matema)
IMG_20221001_181453.jpg
Kama wewe ni mkazi wa jiji la Mbeya natumaini hili eneo sio geni kwako ni moja ya maporomoko ya maji yanayopatikana ndani ya safu za milima ya Livingstone mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela eneo la matema beach. Hufahamika kwa jina la Mwalalo waterfalls.
IMG_20221001_181207.jpg

Mandhari yake ni shwari na tulivu yenye kuvutia sana, wageni wengi wanaotembelea fukwe za ziwa nyasa huwa wanapopata nafasi basi hufika juu ya safu izo ili kujionea yaliyo mengi yanayopatikana ndani ya milima iyo.
IMG_20221001_181646.jpg

Shughuli mbalimbali huwa zinafanyika ndani ya eneo ilo ikiwemo kupiga picha, kuogelea, kupanda milima, kutazama ndege na viumbe wengine kama nyani n.k.

Karibu ujionee yaliyo mengi ndani ya safu za milima ya Livingstone.
 
-1737063005.jpg

Jobs fill your pocket, but adventures fill your soul😍

ARUSHA PARK SAFARI, 02/09/2023

Departure: Shoppers_Arusha

COST PER INDIVIDUAL 45,000/=

Call/Booking,+255622174613 /+255753651935

DESTINATIONS

🎯Tululusia & Maio Waterfalls
🎯Ngurdoto Crater & Museum
🎯Mini Serengeti (Serengeti Ndogo)
🎯Uwanja wa Mbogo
🎯Fig tree

INCLUDE
....
🎯Transport fee (Go & Return)
🎯Guide fee
🎯All Park fee/Entry fee
🎯Food & Soft Drinks
.....
ACTIVITIES
🎯Game Drive & Viewing
🎯Walking Safari
🎯Photography
 
Back
Top Bottom