Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia yupo Zanzibar Kushuhudia Tamko la pamoja la Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar.

Huyo Ndio Rais Samia Mama wa Upendo na Huruma. Huyo Ndio Rais Samia kipenzi cha watanzania.

Hataki kumuacha mtu Nyuma wala kuona watu wakiishi kwa Uhasama.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Fuatilia LIVE hapa:


View: https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
 
Mnafki mkubwa mbona kamuweka Lissu ndani kwa zengwe!?.
Katiba mpya ni lazima kuzuia watawala wajinga huko mbeleni isijirudie teena!.
 
kila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Dangote,kachagua kenya uko boy we unachamba umbeya tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…