kuna mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe,halafu wengine wasipocheka anaumia
 

Ulitakiwa kuwaza kwanini mzee mwinyi hakuwahi kumshtaki wala kumpa kesi othman?

Alimwacha huru aongee, na leo wameridhiana

Na wizara kuu ya utalii amempa, wizara ya afya amempa

Njoo kwetu sasa, ni kama kuna plan zinapangwa kutudondosha

Ni kutishana, kuuwana, kutekana, kuitana majina makali

Sikiliza hotuba ya mzee mwinyi na sikiliza hotuba ya Rais wetu,

Utagundua kitu

All in all Tanzania Bara tunarudi nyuma sana kwa kila kitu
 
Hayo si mambo ya Wazanzibar na katiba yao.Kinachofanyika kule ni kwa mujibu wa katiba yao.
 
UTapeli tu.
 
Mkuu,naomba ufafanuzi wa maridhiano yenyewe.
Maana Mimi nilitarajia kusikia ACT wanapata nafasi ngapi ya uwaziri nk.
Naona kama vile ni muafaka wa kuanza muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…