Rais Ni Tasisi ,ana Washauri na wanashelia wabobezi,yupo serikali MDA mrefu ,Sasa si kila kitu ni kubeza tuuu....( huwezi juaSalama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwa Nini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
Hii unayoongea ni Tanzania hii au sehem ingine. Taasisi hiyo hiyo ambayo awamu iliyopita huyu Rais alikuwa makamu (Rais) lakin sasa si unaona kama alikuwepo pale kama kivuli tu. Leo anapingana na mtangulizi wake na wakat huo huo mawazili hawa hawa kwa kiwango kikubwa ndo walikuwa kwenye serikali iyopita.. Wanasheria hawa hawa ndo wametuingiza chaka kila wakat kwa mikataba ya ovyo. Au wewe ni mgeni Tanzania?Rais Ni Tasisi ,ana Washauri na wanashelia wabobezi,yupo serikali MDA mrefu ,Sasa si kila kitu ni kubeza tuuu....( huwezi jua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliouza gesi nao walikaa madarakan mda gani je hizo taasisi za kumshauri hazikuona madhara ya baadaeRais Ni Tasisi ,ana Washauri na wanashelia wabobezi,yupo serikali MDA mrefu ,Sasa si kila kitu ni kubeza tuuu....( huwezi jua
Sent using Jamii Forums mobile app