Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini nijitofautishe nawe ikiwa umefanya kinachofanana na kile nilichofanya mimi!1. Jitofautishe nami kwa kukuitisha nilichoongeza kuhakikisha tunakwenda sawa.
2. Kwamba nimejipa uhalali? Mimi kama binadamu ninayo haki ya kufanya assessment yangu mwenyewe na hata kuyaweka wazi maoni yàngu yatokanayo na observation hiyo.
3. Zingatia hapo #2 ni haki yangu na hoja hupingwa kwa hoja.
4. Ninao ushahidi wa kila statement niliyotoa. Nilichoongelea ni uhalisia wenye lengo la kuwaasa ukiwamo wewe kuwa wewe (be yourself).
5. Uchawa hauna tija. Uchawa ndiyo uliotufikisha huku kwa Kuna @lucas_mwashambwa.
6. Hapo #5, chawa ni chawa tu!
7. Tuupige vita uchawa huu.
Hapa sioni ulichonifundisha, nafahamu kukosoa sio kosa, lakini unapokosoa uwe na hoja zenye mantiki, na ukieleweshwa uwe tayari kuelewa sio kukomaa tu ilimradi kulazimisha kutofautiana, sio kukosoa tu ilimradi, mfano nimeshakupa kwa Mbowe.1. Inaweza kuwa ni kwa vile CCM wametuchosha lakini uchawa wowote hauna afya .
2. Kwa hakika uchawa ni kero bila kujali Kambi.
3. Hapo #2 akina denooJ jg watambue kukosoa si uhaini wala kutofautiana mawazo mwamba ni jambo la afya tu.
Mimi ni mzalendo na siyo chawa.
Kwanini nijitofautishe nawe ikiwa umefanya kinachofanana na kile nilichofanya mimi!
Kama unakiri una haki ya kufanya assessment, basi utambue pia assessment yako ni wrong kwenye maeneo mengi sana, mfano mmojawapo ni hilo la Mbowe nililokuonesha pale juu.
Chawa wameanza kuibuka!! Huyu ni chawa wa KIISLAM a.k.a Kichwa NgumuHAMAS ni mpambanaji dhidi ya udhwalimu wa mwisraeli. Bila shaka utakuwa mfia ukristo na mwisraeli kwako hakosolewi.
Bila kusahau johnthebaptist (a) uchawa wa mama na (c) uchawa wa CCM zinamhusu moja kwa moja.
Hapa sioni ulichonifundisha, nafahamu kukosoa sio kosa, lakini unapokosoa uwe na hoja zenye mantiki, na ukieleweshwa uwe tayari kuelewa sio kukomaa tu ilimradi kulazimisha kutofautiana, sio kukosoa tu ilimradi, mfano nimeshakupa kwa Mbowe.
Nikikutazama huwa naona una mengi sana ya kujifunza, hasa nikikumbuka hata nawe ulishawahi kunifukuza Chadema kwasababu ya kutofautiana misimamo, nashangaa huna kumbukumbu, kumbe hata nawe ni chawa wa Chadema.
Una mawazo ya kioga tu, kwanini niogope jibu lako!.1. Nime edit kilichopita bila kujua ulisha jibu.
2. Hapo #1 ni miye niliyekufahamisha kuwa ambacho nilikiruka nimeliongeza lengo twende pamoja.
Tofauti na wewe:
3. Uli edit kinyemela kuongeza yasiyohusika kwenye comment yako ya nyuma iliyopita sana tu.
4. Hapo #3 Wala hukusema kuwa ume edit hadi nilipoiona mimi na accidentally.
5. Au hukupenda nidadavue tofauti ya kijana mjuaji dhidi ya kijana wa hoja aliyeongelewa na Nyerere?
- Nimeshakujibu kujibu kwenye suala la Mbowe, una tabia ya ubishi ndio tatizo lako.1. Nlizoweka ni hoja zenye mantiki. Angalia hapa kama hizi hazikuhusu wewe na wenzao wengi wa aina yako:
b) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
2. Zingatia hakuna popote nilipoandika namwelewesha au nataka kumwelewesha mtu.
3. Kudai kutaka kumwelewesha mtu ni katika ujuaji kama ulivyoangaziwa kwenye mada.
4. Humu tunatoa maoni tu na kuyatetetea maoni yetu Kwa hoja na au mifano ikibidi.
5. Hapo #4 bila hoja au mifano tambua ujuaji utakuhusu.
tunachokiona hivi sasa,1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija.
2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu.
3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro," hazina maana yoyote kwao.
Makundi haya yanahusika:
a) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
b) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
c) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.
d) Chawa wa CHADEMA. Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka.
e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.
f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
4. Uchawa ni janga na chawa wenyewe ni wadudu wachafu.
View attachment 2951213
5. Chawa ni chawa tu, bila kuupiga vita uchawa hakuna mabadiliko.
Tuungane kuupiga vita uchawa.
Chawa wameanza kuibuka!! Huyu ni chawa wa KIISLAM a.k.a Kichwa Ngumu
Una mawazo ya kioga tu, kwanini niogope jibu lako!.
Nina edit nikijua bado hujaisoma comment ndio maana sikwambii kama nime edit, coz unakuwa bado hujajibu, hiyo ni tofauti nawe uliye edit, nikakujibu, kisha ukaongezea kile nilichojibu tayari ndio maana ukaniambia hivyo ume edit.
Hope unanielewa..
Mkuu hapa ungebadilisha usiite chawa wa Chadema badala yake sema makamanda wa Chadema.) Chawa wa CHADEMA. Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka.
Mkuu hapa ungebadilisha usiite chawa wa Chadema badala yake sema makamanda wa Chadema.
Kumbuka neno 'chawa' hutumika kwa majitu yasiyojitambua vyema, mategemezi na wasioweza kupigana wenyewe kutafuta maisha yao!
Hawawezi, wew mtu anasubiria teuz na kusifia tu. Vijana wa hovyo n machawa kina babalevo nk, wazee wa hovyo utawasikia ahsante mama bila wew tusingepata pesa.Wanapita mbali nao
Naona tutakesha tu hapa, simply jifunze kuwa mvumilivu huku ndani, usije na assessment zako kama vile wewe ni malaika ikiwa hata nawe una makosa yako kama nilivyokuonesha pale juu, japo hutaki kuyakubali kwasababu ya hulka yako.1. Sina mawazo ya kioga. Wala sijui mawazo duni kama hayo unayaokota wapi.
2. Kwamba uli edit ukijua sijasoma wakati nilisha jibu, bado unauona ujuaji wako kuwa sijasoma una hata haja ya kurejea?
3. Hapo #2 kama ulidhani sijasoma huoni kujiridhisha labda hata nimeshajibu?
- Nimeshakujibu kujibu kwenye suala la Mbowe, una tabia ya ubishi ndio tatizo lako.
- Hata kwenye hilo la ujuaji, mpaka umefikia stage ya kuja na assessment kwa wengine, nawe pia ni mjuaji usiyejijua, najua na hili utabisha kama kawaida yako.
Hauna ujasiri wa kuvumilia kutofautiana mitazamo, mtu akiwa tofauti nawe unaanza kumuita mjuaji, simply unataka awe kondoo wako kifikra ili muende nae sawa, huu ni ubichi wa kifikra bado hujakomaa
Naona tutakesha tu hapa, simply jifunze kuwa mvumilivu huku ndani, usije na assessment zako kama vile wewe ni malaika ikiwa hata nawe una makosa yako kama nilivyokuonesha pale juu, japo hutaki kuyakubali kwasababu ya hulka yako.
Nani amekasirika wewe! au umeniona hapo ulipo?! again, wacha ujuaji!.A) Ukweli mchungu wengi mko hapa:
1. Chawa wa mwamba
2. Chawa wa Chadema
3. Wajuaji
B) Ndiyo maana mlipo ni full makasiriko!
C) Ukweli mchungu zaidi, haijali uchawa gani:
Uchawa ni laana!
Habari ndiyo hiyo