- Thread starter
- #81
Gentleman,
kubabaika na kung'ang'ana na dhana potofu zisizo na athari zozote kijamii, kisiasi au kiuchumi ni sawa na kuamuni uchawi na ushirikiana tu,
utachelewa sana kufika kwenye ndoto zako š
Kwani unawapa jina gani la maana hawa?