1. Mbona nimeacha wengi tu wenye kuamini katika hoja?
2. Ila Kwa hakika wengi mko humu.
3. Tujitafakari, vinginevyo hatuwezi kutoboa.
4. Tofautisha wajuaji na wenye hoja. Wajuaji hudhani wanaojua ni wao tu. Huwa na mashaka hata na alichoandika mtu kama amekisoma au kukijua. Hudhani kiingereza wanajua wao tu. Si nadra kudhani wangeombwa kutafsiri.
5. Kimsingi ujuaji ni ugonjwa wenye kuhitaji tiba.