[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wananikera hao usikute wao wamelelewa kwenye nyumba zile za nbavu za bwaJamaa wenye kutumia a/c 24/7 kwenye magari yao wanajionaga wamepatia maisha balaa, utasikia, "vumbi inaharibu sana dashboard"
True boi..Hao watu wanaona maisha wameyapatia sana na mwanajeshi anamuona mtu hasiye mwanajeshi ni boya na hakuna tusi kubwa kwa mwanajeshi umwambie yeye ni RAIA na pia JW wanawaita polisi ni RAIA WAKAKAVU.
Jina lake linaanza na herufi M na ni fun wa AsernalJana nilikua na-argue na malaya mmoja twitter, kisa ana followers elfu 25 anajiita motivational speaker, basi mimi nina followers chini ya 100 pamoja na a/c kua ina miaka zaidi ya 9 twitter, basi anajiona mkuuuubwa na mjaaanja kisa ana followers 25k na anatweet kwa iphone basi anajiona mjaaanja,unawaangalia unawaonea huruma.
Watu wa hivyo wanajiona wameyapatia sana maisha huku sisi tusio na followers wengi tukionekana hatuna kitu.
Watu wengine hovyo sana.
[emoji23][emoji23]hii coment kuna ndugu yangu angeiona mngezichapa kwakweliKuna hawa Majamaa wanaojiunga kwa Mara ya kwanza na network Marketing especially ALLIANCE GLOBAL IN MOTION asee..
Lakini baada ya Mwezi miezi miwili hivi anaona bora hiyo 500k angetembeza dagaa Buza
Kuna majamaa flani jioni jioni utawaona wana kopo la maji ya Kilimanjaro wamevaa vipensi vya khaki na mashati ya "form six" mikononi wameshika simu kubwa huku wamening'iniza funguo kwenye luksi ya kaptula.
Hawa wanaona maisha wameyapatia kabisa.
Hao wenye vipensi na maji makubwa na tshirts form six na toothpick mdomoni huwa wanaona wameyapatia kabisa
Vidada vya CHUO utavikuta vinasikiliza nyimbo za kiingeleza tu..
Mkuu nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanona wamepatia maisha hasa wanaokaa seat za mbele kwenye daladalaWale wanaopata ‘siti’ kwenye daladala ambalo limejaa sana, kisha foleni haiendi... wanaona waliosimama kama wako motoni.
Hakuna watu wananishangaza kama hao wanaokuja night club na MacBook.
[/QUOTE
Ni ushamba tu
[emoji2960][emoji2960]Wadada wanaofanya kazi masjala kwenye ofisi za umma wanaringa hao kama wako peponi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahh dah umefikiri kama mimi aseeWale wanaopata ‘siti’ kwenye daladala ambalo limejaa sana, kisha foleni haiendi... wanaona waliosimama kama wako motoni.