Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Jamaa wenye kutumia a/c 24/7 kwenye magari yao wanajionaga wamepatia maisha balaa, utasikia, "vumbi inaharibu sana dashboard"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wananikera hao usikute wao wamelelewa kwenye nyumba zile za nbavu za bwa
 
1. Mamonita shule ya msingi na sekondari asee wanajiona kabisa wameyapatia maisha
2. Vilanja na kaka mkuu wa shule Hawa nao pia balaa lao...
 
Hivi usopotaja Udsm utawashwa?
Jaribu kukausha maji kwenye Ubongo wako ambao umeshalowa.
 
Jana nilikua na-argue na malaya mmoja twitter, kisa ana followers elfu 25 anajiita motivational speaker, basi mimi nina followers chini ya 100 pamoja na a/c kua ina miaka zaidi ya 9 twitter, basi anajiona mkuuuubwa na mjaaanja kisa ana followers 25k na anatweet kwa iphone basi anajiona mjaaanja,unawaangalia unawaonea huruma.

Watu wa hivyo wanajiona wameyapatia sana maisha huku sisi tusio na followers wengi tukionekana hatuna kitu.

Watu wengine hovyo sana.
Jina lake linaanza na herufi M na ni fun wa Asernal
 
Kuna hawa Majamaa wanaojiunga kwa Mara ya kwanza na network Marketing especially ALLIANCE GLOBAL IN MOTION asee..

Lakini baada ya Mwezi miezi miwili hivi anaona bora hiyo 500k angetembeza dagaa Buza
[emoji23][emoji23]hii coment kuna ndugu yangu angeiona mngezichapa kwakweli
 
Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna majamaa flani jioni jioni utawaona wana kopo la maji ya Kilimanjaro wamevaa vipensi vya khaki na mashati ya "form six" mikononi wameshika simu kubwa huku wamening'iniza funguo kwenye luksi ya kaptula.

Hawa wanaona maisha wameyapatia kabisa.
 
Back
Top Bottom