Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Wasanii wa wasafi na kode boy
Vijana wa ccm
Mashabiki wa simba na yanga
 
Raia wenye farm boots kipindi hiki Cha mvua wanajikuta wameyaweza maisha haswa.
 
Wadada wanaofanya kazi masjala kwenye ofisi za umma wanaringa hao kama wako peponi

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna wawili niliwakuta reception ya ofisi fulani nilikuwa na shida pale wakanifanyia dharau nikawajibu majibu ya mkato na ya kuwaonesha hawajielewi,
mpaka leo nikirudi pale hawaitikii salamu yangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna wawili niliwakuta reception ya ofisi fulani nilikuwa na shida pale wakanifanyia dharau nikawajibu majibu ya mkato na ya kuwaonesha hawajielewi,
mpaka leo nikirudi pale hawaitikii salamu yangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji2960]
 
Madereva wa serikalini ikiwa gari analoendesha ni V8 au Brand kali huwa wanajioana kama ndo wamiliki wa gari kumbe wameajiriwa tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna dereva flani mvaa kaunda suti na kipara kichwani, anaendesha YUTONG la UDOM, anadharau sana yule jamaa utadhani gari ni lake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😂😂😂😂
 
Hakika mkuu
Kule kumekuwa tatizo,kwanzia miaka ya karibuni.
 
Huu uzi una chembe za ubaguzi mbona sioni jina la Hajj Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…