Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Huo muda wa kukaa na kuchambua mitindo ya maisha ya watu utumie kuongeza kipato mkuu.
 
- Vijana wa kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi bongo kupambana na msoto wa maisha.
- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira jeshini halafu uwakute uraiani wamevaa zile gwanda zao.
Hao watu wanaona maisha wameyapatia sana na mwanajeshi anamuona mtu hasiye mwanajeshi ni boya na hakuna tusi kubwa kwa mwanajeshi umwambie yeye ni RAIA na pia JW wanawaita polisi ni RAIA WAKAKAVU.
 
Kuhusu Marekani siwezi kujizuia kujiona nimeyapatia maisha. Asikudanganye maelfu kwa maelfu ya watu duaniani wanatamani waje USA
sizungumzii wale ambao bado wanaendelea kuishi huko.

nazungumzia wale ambao walishawahi kuishi huko ila sasa wamerudi bongo mazima wakipambana na ugumu wa maisha ya huku. ile mentality ya maisha ya kimarekani huwa haiwatoki haraka.
 
Daah pole sana mkuu umeandika kwa hisia hadi nimekuonea huruma. Binadamu tuko tofauti sana, vitu kama gari ni mambo madogo tu.

Kuna dereva mmoja wa bus moro dar alikuwa ana-force kulipita gari sehemu isiyo sahihi. Alilazimisha akalipita na kama haitoshi alivyolipita akafungua kioo na kuonyesha "middle finger" asijue aliekua ndani ya hiyo gari ndogo ni mtu mzito.

Check point iliyofuata akasimamishwa na askari. Aisee palichimbika, ni hivi hatupaswi kudharauliana kwa na namna yeyote, tuheshimiane na tupendane.

Pole mkuu.
 
Hujamuelewa, kasema huku tumegawanywa kwa majukwaa. So ukitaka mambo ya ovyo unaingia jukwaa lake na ukitaka kitu kingine unaingia jukwaa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…