Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

wanaobet kwa kuweka stake ya million moja nakundelea
 
Pole sana mkuu,Kuna bwana alimwagiwa maji barabarani na mwenye gari hakuomba msamaha wala nini,aliyemwagiwa maji akaona sio inshu akachota maji machafu kwny kopo akalifuata lile gari maana lilikata kona kuingia ofisi za halmashauri zilizo hapo karibu.

Alipofika ni hakuna maelezo kamkuta mshikaji ndio anashuka kwny gari yake,jamaa akam-mwagia yale maji machafu ya kwny kopo then akamueleza kilichotokea then akasepa zake.
 
tusisahau na vijana waliopanga kinondoni, sinza na siku hizi tabata. [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi kuishi nyumba ya kupanga nako ni kujisifu? Uwe Area D, Kigamboni, au Masaki, kwa mwenye akili ni kitu kile kile.
 
ungemtukana au ungeniitapo Mkuu
 



NAOMBA UTUTOE SISI WAHANDISI KTK HILO GROUP,SISI HATURINGI ILA WATU WANAVYOTUONA NA KUTUCHUKULIA TU MKUU.
BY THE WAY TUMESOMA PIA,SI SAWA KUTUCHANGANYA NA HAO WAMILIKI IPHONE NA FOLLOWERS PLUS KUISH MAREKANI.


Eng.Fasiliteta
 
We jamaa mpole sana, Aiseee! Yaani mtu anakumwagia maji machafu unaonyeshwa mpaka kwake halafu wewe unamuangalia tu.

Punguzeni upole jamani...
 
Uamuzi wa maana sana
 
Ila huu uzi umekaa kiwivu wivu sana , vijana tujitume na kutafuta fedha ili tuishi maisha tunayotaka,
Licha ya kasoro za baadhi ya watu kwa mujibu wa mtoa maada lakini mtoa uzi ana wivu
 
NAOMBA UTUTOE SISI WAHANDISI KTK HILO GROUP,SISI HATURINGI ILA WATU WANAVYOTUONA NA KUTUCHUKULIA TU MKUU.
BY THE WAY TUMESOMA PIA,SI SAWA KUTUCHANGANYA NA HAO WAMILIKI IPHONE NA FOLLOWERS PLUS KUISH MAREKANI.


Eng.Fasiliteta
NAKAZIA HOJA
 
Kuna majamaa flani jioni jioni utawaona wana kopo la maji ya kilimanjaro wamevaa vi pensi vya khaki na mashati ya form six.. mikononi wameshika simu kubwa huku wamening'iniza funguo kwenye luxi ya kaptula..
Hawa wanaona maisha wameyapatia kabisa
Hahaha [emoji23]
 
Amesema huku kuna majukwaa tofauti kwahiyo unachagua mwenyewe jukwaa linalokufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…