Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Na tabia za ulimbukeni tu hizo.
Niliwahi kukutana na hawa watu wa Science na anajua lugha kwa mujibu wake.Bwana yule nikiwa kwenye kazi zangu zinazonifanya nichafuke nilimsalimia hakuitika.

Na katika kutoa salamu alikuwa miongoni mwa watu wengi.Wengi waliitikia yeye alinitazama..nikarudia habari mkuu?Kimyaaa.

Basi nikaendelea na kazi zangu..ilipofika jioni kumbe tunaenda kulala jengo moja na wote ni wageni.

Internet ndiyo ilimfanya anisalimie na kuniomba msamaha na baadae kuanza kuuliza kwa wenyeji kuwa huyu ni nani?

Tupunguze dharau zisizo na maana.Huwezi jua unayemfanyia jambo flani kwa kisa tu status yako iwe ya kundi lolote lile.

Kuna vijana wengi sana wa kike na kiume wapo njema sana na wapo njema mno unakuja kujua status yake tayari umepilimba weee na kujishaua shaua.
 
wale wanaokuwa ma ST jkt mujibu wa sheria...wanajiona kama ma private wa jeshi[emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna jamaa yangu mmoja hivi alipita jkt kwa mujibu sasa alikua anajiona yeye ni askari jeshi na anazijua siri za nchi
 
Kuna hawa footballers wa kibongo,akipewa pass akaitulizia gambani baasi anaona maisha kayapatia kwelikweli.
Bila kuwasahau marefa wanaochezeshaga mechi ya simba na Yanga nao huona maisha kwao ni mteremko tayari
 
Umeamua tuu ufufue kaburi. Umekutana nayo huko mtaani nini!!!?

By the way huu ni uzi mzuri.
 
Umeamua tuu ufufue kaburi. Umekutana nayo huko mtaani nini!!!?

By the way huu ni uzi mzuri.
huu uzi utaendelea kuwa valid kila wakati kwasababu nilifocus kuandika jambo linalotokea kila nyakati kwenye jamii yetu ya kitanzania.
 
Back
Top Bottom