Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

CCM asili nao wote kura kwa Mh Lissu, hakuna CCM asilia yeyote atakayepiga kura kuchagua the so called CCM mpya.
 
bila kusahau hawa wanafunzi waliomaliza chuo kipindi hiki cha 2015-20 na hawajaajiriwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
Kuna watu wanajigamba kuwa wao ni matajiri na wanatembelea v8 full ac, wanawaambia hawa vijana wajiajiri.
 
Point ya kwanza tu. Ndio itawafanya CCM ishinde dhidi yenu.

Ukizungumzia tu wanachama wa vyama vya kisiasa. Basi tambua 70% + ni CCM
Kwa tathmini gani uliyofanya wewe ya kuwapa CCM 70% ya wanachama wote wa vyama vya siasa nchini?
 
Mama yangu, mtu mzima kweli, alikuwa mwanachama tangu TANU. Yuko village huko - juma moja kufika kwa gari toka Dar. Anasema kijijini, akiwemo yeye, wanampigia kura Lissu.
Very Good
 
Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:-

1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha Chadema

2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo

3. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, walionyimwa kuongezewa mishahara yao kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya tano.

4. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliowekewa kikotoo kipya cha malipo, cha mifuko ya jamii, ambacho naweza kudiriki kuita kuwa ni "mauaji" kwa wafanyakazi

5. Wafanyibiashara kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefunga biashara zao, baada ya TRA kuwafungia biashara zao, baada ya kuwakadiria kodi kubwa sana, ambayo wameshindwa kuzilipa.

6. Wafanyakazi kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kutimia vyeti feki.

7. Wananchi wa Kimara hadi Kibaha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliobomolewa nyumba zao, bila ya kulipwa hata kidogo, ili kupisha upanuzi wa barabara nane, licha ya wakazi hao kupeleka suala lao mahakamani na mahakama hiyo kuwekea "court injunction" kesi hiyo.

Unaweza kuongezea makundi mengine, yatakayomnyima kura mgombea Urais wa CCM, John Magufuli na kumpigia kura mgombea Urais wa Chadema, Tundu Lissu.
Wanafunzi 10,000 na familia zao waliofukuzwa UDOM.... Vijana mamilioni ambao hawakuajiriwa kwa miaka 5 yote.
 
Kazi hamufanyi.. munataka vya dezo.. mumepokea mikopo.. ni wajibu wenu kulipa.. "asiye fanya kazi na asile" msemo wa Rais Magufuli..
Hamuoni aibu kutaka dezo dezo.. mkopo ni mkopo lazima ulipwe......


Ni kweli yeye anaifanya kazi ya wizi kwa kujinyakulia mashamba ya watu Tanga bila kusahau Mwinyi aliyejinyakulia mashamba ya watu ekari 60 000 kule Morogoro na pia huku Kitope , Zanzibar . Pia wafanyakazi wengine wa CCM wamefanya kazi ya kuiba pesa za serikali kama huyu Balozi Seif Ali Iddi kibaraka wa Tanganyika aliyejijenga majumba 37.
Hapa Kazi ya wizi tu, Chukua chako Mapema.
 
Lissu angeshinda endapo tu, narudia, endapo tu angewahakikishia watanzania ya kuwa ana malinda kamili kwa kufanyiwa uchunguzi na jopo la dictors. Lakini bila ya hivyo hiyo fununu ya kwamba amefumuliwa malinda haimwachi salama.


Tumeshazoea CCM huwa akili zenu zimejaa Mambo ya ushoga. Ndo maana UVCCM ushoga hautakaa uishe.
 
Ngoja niongezee
1.Machinga waliolipishwa 20,000 wakati mlo mmoja wa siku ni taabu
2. Waislam ambao wanaona mashekhe wao wako jela bila kufunguliwa kesi, Bakwata wako kimya
3. Wakakulima wa korosho walio vamiwa na jeshi kisa korosho zikabebwa
4.Wafugaji waliotolewa kwenye hifadhi bila mpangilio
5.Watu wa Kagera kwa ujumla wao baada ya pesa yao ya misaada wa tetemeko kupelekwa Chato kujenga uwanja wa ndege wa familia
6. Wanachama na wapenzi wa CUF ambao wamebaki solemba baada ya Lipumba kwa usimamizi wa ccm kupoka chama na kukiua
 
Ndugu, jamaa, marafiki na wahanga waliobambikiziwa kesi za uongo zisizo na dhamana
 
Kuna watu wanajigamba kuwa wao ni matajiri na wanatembelea v8 full ac, wanawaambia hawa vijana wajiajiri.
wajiajiri kivipi na hawana mtaji!
mtu anataaluma ya udaktari au ualimu, atapata wapi mtaji wa kufungua hospital au shule?

huyo mwanasiasa anafanya propaganda za uongo ili aajiriwe kupitia siasa, leo akishindwa siasa na yeye anashindwa kujiajiri
 
Lissu lazima ashinde uchaguzi huu. Nadhani ni kati ya vita ya haki na dhuruma

Ni vita ya Mungu na shetani.
Lissu=Shetani, maana Dkt Magufuli uamini wake ktk Mungu ndiyo unakufanya utype hapa issue za uchaguzi badala ya korona. Ila baada ya uchaguzi mbwa nyie lazima mkomeshwe wajinga kabisa shabiki wa kibaraka na shetani lisu
 
Lissu=Shetani, maana Dkt Magufuli uamini wake ktk Mungu ndiyo unakufanya utype hapa issue za uchaguzi badala ya korona. Ila baada ya uchaguzi mbwa nyie lazima mkomeshwe wajinga kabisa shabiki wa kibaraka na shetani lisu
Mudawote
Mbona unatoa matusi, badala ya kujibu hoja?

Nyiye watu wa Lumumba, mkishaona mmezidiwa kwa hoja, mnakinbilia matusi!
 
Back
Top Bottom