MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
kwa uzwazwa wenu huu hamtapata kura hata moja shwain nyieWatanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Pia Tanzania hatutaki ushoga,

Haya yote yatapimwa kwa idadi ya madiwani na wabunge watakaotokana na upinzaniTukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.
Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:-
1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA
2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
3. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, walionyimwa kuongezewa mishahara yao kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya tano.
4. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliowekewa kikotoo kipya cha malipo, cha mifuko ya jamii, ambacho naweza kudiriki kuita kuwa ni "mauaji" kwa wafanyakazi hao.
5. Wafanyibiashara kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefunga biashara zao, baada ya TRA kuwafungia biashara zao, baada ya kuwakadiria kodi kubwa sana, ambayo wameshindwa kuzilipa.
6. Wafanyakazi kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kutimia vyeti feki.
7. Wananchi wa Kimara hadi Kibaha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliobomolewa nyumba zao, bila ya kulipwa hata kidogo, ili kupisha upanuzi wa barabara nane, licha ya wakazi hao kupeleka suala lao mahakamani na mahakama hiyo kuwekea "court injunction" kesi hiyo.
Unaweza kuongezea makundi mengine, yatakayomnyima kura mgombea Urais wa CCM, John Magufuli na kumpigia kura mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Endeleeni kujifariji....Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.
Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:-
1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA
2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
3. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, walionyimwa kuongezewa mishahara yao kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya tano.
4. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliowekewa kikotoo kipya cha malipo, cha mifuko ya jamii, ambacho naweza kudiriki kuita kuwa ni "mauaji" kwa wafanyakazi hao.
5. Wafanyibiashara kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefunga biashara zao, baada ya TRA kuwafungia biashara zao, baada ya kuwakadiria kodi kubwa sana, ambayo wameshindwa kuzilipa.
6. Wafanyakazi kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kutimia vyeti feki.
7. Wananchi wa Kimara hadi Kibaha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliobomolewa nyumba zao, bila ya kulipwa hata kidogo, ili kupisha upanuzi wa barabara nane, licha ya wakazi hao kupeleka suala lao mahakamani na mahakama hiyo kuwekea "court injunction" kesi hiyo.
Unaweza kuongezea makundi mengine, yatakayomnyima kura mgombea Urais wa CCM, John Magufuli na kumpigia kura mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Mkuu unaheshimika sana hapa JF ila siasa imeanza kukufanya rofa, kwa taarifa yako bila hao waliorushiwa mawe kuwepo hata nafasi ya kuweka hiyo video huwezi kupata, usalama wetu upo mikoni mwao! Acha kusambaza chuki, uchaguzi ni siku moja ila maisha ya hao teeneger waliorusha mawe na kukamtawa na kisha kuozea jela ni muhimu sana kwa wazazi wao na jamii kwa ujumla!
Sorry bia yetu hivi hapo unatakiwa kwa siku ufunge hesabu kwa comments ngapi?Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na Robert tu
Wanaccm halisi waliochoshwa na udikteta mavi wa CCM mpya.Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.
Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:-
1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA
2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
3. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, walionyimwa kuongezewa mishahara yao kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya tano.
4. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliowekewa kikotoo kipya cha malipo, cha mifuko ya jamii, ambacho naweza kudiriki kuita kuwa ni "mauaji" kwa wafanyakazi hao.
5. Wafanyibiashara kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefunga biashara zao, baada ya TRA kuwafungia biashara zao, baada ya kuwakadiria kodi kubwa sana, ambayo wameshindwa kuzilipa.
6. Wafanyakazi kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kutimia vyeti feki.
7. Wananchi wa Kimara hadi Kibaha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliobomolewa nyumba zao, bila ya kulipwa hata kidogo, ili kupisha upanuzi wa barabara nane, licha ya wakazi hao kupeleka suala lao mahakamani na mahakama hiyo kuwekea "court injunction" kesi hiyo.
Unaweza kuongezea makundi mengine, yatakayomnyima kura mgombea Urais wa CCM, John Magufuli na kumpigia kura mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Ni mamilioni mkuu, CCM mpya imechokwa sana.Malaki ya WanaCCM
Ajira za serikali zilisitishwa tangu 1993. Sijui ajira gani unayoongelea hapa maana tuliomaliza Chuo kikuu kanzia 1993 tulitafuta ajira wenyewe.Bila kusahau hawa wanafunzi waliomaliza chuo kipindi hiki cha 2015-20 na hawajaajiriwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
CCM inawanachama milioni 17 kati wa wapiga kura milioni 29.lete idadi ya mamilioni ya hao chadema na ACT1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA
2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
Si rahisi hivyo ndugu yangu. Huku ni kujifariji. Hata ingekuwa ni kweli wote uliowataja wakampigia kura, kwa ujumla wao hawazidi milioni 4. Linganisha na mtaji wa CCM wa watu milioni 22 wanaowaunga mkono kabla hata ya kampeni. 17 milioni kati ya hao ni wanachama wenye kadi wa CCM. Hivyo kwa mahesabu haya ni dhahiri ushindi wa Dkt Magufuli ni zaidi ya 90%Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.
Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:-
1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA
2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
3. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, walionyimwa kuongezewa mishahara yao kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya tano.
4. Wafanyakazi bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliowekewa kikotoo kipya cha malipo, cha mifuko ya jamii, ambacho naweza kudiriki kuita kuwa ni "mauaji" kwa wafanyakazi hao.
5. Wafanyibiashara kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefunga biashara zao, baada ya TRA kuwafungia biashara zao, baada ya kuwakadiria kodi kubwa sana, ambayo wameshindwa kuzilipa.
6. Wafanyakazi kwa maelfu, bila kujali itikadi zao za kisiasa, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kutimia vyeti feki.
7. Wananchi wa Kimara hadi Kibaha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliobomolewa nyumba zao, bila ya kulipwa hata kidogo, ili kupisha upanuzi wa barabara nane, licha ya wakazi hao kupeleka suala lao mahakamani na mahakama hiyo kuwekea "court injunction" kesi hiyo.
Unaweza kuongezea makundi mengine, yatakayomnyima kura mgombea Urais wa CCM, John Magufuli na kumpigia kura mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Ahahahahahahhahahahahah! Msisahahu kuleta hizi nyuzi baada ya uchaguzi, maana ni jambo jema kufanya tathmini baada ya tukio! Ahahahahahah!Lissu lazima ashinde uchaguzi huu. Nadhani ni kati ya vita ya haki na dhuruma
Ni vita ya Mungu na shetani.