Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

CCM asili nao wote kura kwa Mh Lissu, hakuna CCM asilia yeyote atakayepiga kura kuchagua the so called CCM mpya.
 
bila kusahau hawa wanafunzi waliomaliza chuo kipindi hiki cha 2015-20 na hawajaajiriwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
Kuna watu wanajigamba kuwa wao ni matajiri na wanatembelea v8 full ac, wanawaambia hawa vijana wajiajiri.
 
Point ya kwanza tu. Ndio itawafanya CCM ishinde dhidi yenu.

Ukizungumzia tu wanachama wa vyama vya kisiasa. Basi tambua 70% + ni CCM
Kwa tathmini gani uliyofanya wewe ya kuwapa CCM 70% ya wanachama wote wa vyama vya siasa nchini?
 
Mama yangu, mtu mzima kweli, alikuwa mwanachama tangu TANU. Yuko village huko - juma moja kufika kwa gari toka Dar. Anasema kijijini, akiwemo yeye, wanampigia kura Lissu.
Very Good
 
Wanafunzi 10,000 na familia zao waliofukuzwa UDOM.... Vijana mamilioni ambao hawakuajiriwa kwa miaka 5 yote.
 
Kazi hamufanyi.. munataka vya dezo.. mumepokea mikopo.. ni wajibu wenu kulipa.. "asiye fanya kazi na asile" msemo wa Rais Magufuli..
Hamuoni aibu kutaka dezo dezo.. mkopo ni mkopo lazima ulipwe......


Ni kweli yeye anaifanya kazi ya wizi kwa kujinyakulia mashamba ya watu Tanga bila kusahau Mwinyi aliyejinyakulia mashamba ya watu ekari 60 000 kule Morogoro na pia huku Kitope , Zanzibar . Pia wafanyakazi wengine wa CCM wamefanya kazi ya kuiba pesa za serikali kama huyu Balozi Seif Ali Iddi kibaraka wa Tanganyika aliyejijenga majumba 37.
Hapa Kazi ya wizi tu, Chukua chako Mapema.
 
Lissu angeshinda endapo tu, narudia, endapo tu angewahakikishia watanzania ya kuwa ana malinda kamili kwa kufanyiwa uchunguzi na jopo la dictors. Lakini bila ya hivyo hiyo fununu ya kwamba amefumuliwa malinda haimwachi salama.


Tumeshazoea CCM huwa akili zenu zimejaa Mambo ya ushoga. Ndo maana UVCCM ushoga hautakaa uishe.
 
Ngoja niongezee
1.Machinga waliolipishwa 20,000 wakati mlo mmoja wa siku ni taabu
2. Waislam ambao wanaona mashekhe wao wako jela bila kufunguliwa kesi, Bakwata wako kimya
3. Wakakulima wa korosho walio vamiwa na jeshi kisa korosho zikabebwa
4.Wafugaji waliotolewa kwenye hifadhi bila mpangilio
5.Watu wa Kagera kwa ujumla wao baada ya pesa yao ya misaada wa tetemeko kupelekwa Chato kujenga uwanja wa ndege wa familia
6. Wanachama na wapenzi wa CUF ambao wamebaki solemba baada ya Lipumba kwa usimamizi wa ccm kupoka chama na kukiua
 
Ndugu, jamaa, marafiki na wahanga waliobambikiziwa kesi za uongo zisizo na dhamana
 
Kuna watu wanajigamba kuwa wao ni matajiri na wanatembelea v8 full ac, wanawaambia hawa vijana wajiajiri.
wajiajiri kivipi na hawana mtaji!
mtu anataaluma ya udaktari au ualimu, atapata wapi mtaji wa kufungua hospital au shule?

huyo mwanasiasa anafanya propaganda za uongo ili aajiriwe kupitia siasa, leo akishindwa siasa na yeye anashindwa kujiajiri
 
Lissu lazima ashinde uchaguzi huu. Nadhani ni kati ya vita ya haki na dhuruma

Ni vita ya Mungu na shetani.
Lissu=Shetani, maana Dkt Magufuli uamini wake ktk Mungu ndiyo unakufanya utype hapa issue za uchaguzi badala ya korona. Ila baada ya uchaguzi mbwa nyie lazima mkomeshwe wajinga kabisa shabiki wa kibaraka na shetani lisu
 
Itokee bahati mbaya CHADEMA washinde, Watanzania watakubali kuongozwa na "msaliti " ? Tuwe na uzalendo kwa kumchagua JPM

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Lissu=Shetani, maana Dkt Magufuli uamini wake ktk Mungu ndiyo unakufanya utype hapa issue za uchaguzi badala ya korona. Ila baada ya uchaguzi mbwa nyie lazima mkomeshwe wajinga kabisa shabiki wa kibaraka na shetani lisu
Mudawote
Mbona unatoa matusi, badala ya kujibu hoja?

Nyiye watu wa Lumumba, mkishaona mmezidiwa kwa hoja, mnakinbilia matusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…