Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

Haya yote yatapimwa kwa idadi ya madiwani na wabunge watakaotokana na upinzani
 
Katika likst hiyo Ongeza pia;-
1.Kundi kubwa la wanaccm wasioridhishwa na uongozi wa sasa ndani ya chama hicho chini ya uenyekit wa JPM
2.Wavuvi wote wahanga wa kuchomewa nyavu na zana zao za uvuvi
3.Wanufaika wote wa bodi ya mikopo wanaoungua na makato ya 15%
4.Wahanga wote wa kufilisiwa kwa kwa kutumia kesi za uhujumu uchumi
5.Wana Bukoba wote wahanga wa njaa na tetemeko
6.Wanavyuo wote waliomaliza tangu 2014 lakini mpaka leo hawajapata ajira na hawaoni dalili zozote

Hawa wote kura zao kama zote ni kwa Lissu!
Mungu akazuie hila na dhuluma yoyote dhidi ya ushindi wa Lissu!
 
Sisi tunakwenda na JPM tu, hao vibaraka wa wazungu tupa kule
 
Endeleeni kujifariji....
 
Ukiangalia kwa makundi hayo na mengine unaona Rais alikuwa anajitengenezea mabomu ya kumlipukia yy mwenyewe Sasa sijui washauri wake ndo wamemhujumu au vipi
 
Mkuu unaheshimika sana hapa JF ila siasa imeanza kukufanya rofa, kwa taarifa yako bila hao waliorushiwa mawe kuwepo hata nafasi ya kuweka hiyo video huwezi kupata, usalama wetu upo mikoni mwao! Acha kusambaza chuki, uchaguzi ni siku moja ila maisha ya hao teeneger waliorusha mawe na kukamtawa na kisha kuozea jela ni muhimu sana kwa wazazi wao na jamii kwa ujumla!
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na Robert tu
Sorry bia yetu hivi hapo unatakiwa kwa siku ufunge hesabu kwa comments ngapi?
 
Wanaccm halisi waliochoshwa na udikteta mavi wa CCM mpya.
 
Mkuu umetusahau na sisi mashabiki wa muziki wa reggae katuburudisha sana kwenye mikutano yake hivyo tutarudisha fadhila kwa kumpa kura mr TAL.
 
Bila kusahau hawa wanafunzi waliomaliza chuo kipindi hiki cha 2015-20 na hawajaajiriwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
Ajira za serikali zilisitishwa tangu 1993. Sijui ajira gani unayoongelea hapa maana tuliomaliza Chuo kikuu kanzia 1993 tulitafuta ajira wenyewe.
 
1. Mamilioni ya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA

2. Wanachama na wapenzi wa chama cha ACT Wazalendo.
CCM inawanachama milioni 17 kati wa wapiga kura milioni 29.lete idadi ya mamilioni ya hao chadema na ACT
Namba huwa hazidanganyi,acha kujipa matumaini hewa
 
Mkuu umetusahau na sisi mashabiki wa muziki wa reggae katuburudisha sana kwenye mikutano yake hivyo tutarudisha fadhila kwa kumpa kura mr TAL.
kikiboxer
Kweli niliwasahau na nyinyi "marastafarian" mliokuwa mkiburudishwa na miziki ya Bob Marley
 
Si rahisi hivyo ndugu yangu. Huku ni kujifariji. Hata ingekuwa ni kweli wote uliowataja wakampigia kura, kwa ujumla wao hawazidi milioni 4. Linganisha na mtaji wa CCM wa watu milioni 22 wanaowaunga mkono kabla hata ya kampeni. 17 milioni kati ya hao ni wanachama wenye kadi wa CCM. Hivyo kwa mahesabu haya ni dhahiri ushindi wa Dkt Magufuli ni zaidi ya 90%
 
Lissu lazima ashinde uchaguzi huu. Nadhani ni kati ya vita ya haki na dhuruma

Ni vita ya Mungu na shetani.
Ahahahahahahhahahahahah! Msisahahu kuleta hizi nyuzi baada ya uchaguzi, maana ni jambo jema kufanya tathmini baada ya tukio! Ahahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…