Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

Wewe ndiyo unajidanganya.. ..........

Hivi nyinyi maccm, mnawezaje kujisifia kuwa mna wanachama hai milioni 22?

Hizo ni data za kughushi kama mlivyozoea
 
Wasiopenda rais msema ovyo qmbaye karibu kila siku anasema kituko kipya, mara atapiga shangazi za watu, mara Wahehe wajinyonge tu, mara atapendelea wanawake weupe zaidi ya weusi.

Karibu kila siku kituko kipya!
 
Lissu angeshinda endapo tu, narudia, endapo tu angewahakikishia watanzania ya kuwa ana malinda kamili kwa kufanyiwa uchunguzi na jopo la doctors. Lakini bila ya hivyo hiyo fununu ya kwamba amefumuliwa malinda haimwachi salama.
Wewe na Bashite mnayo?
 
Ndugu unajua kumfariji mgonjwa. Unaona Kenge linatoka damu za masikio unazani litapona hapo. Tundu mwishowake wa kuropoka ni keshokutwa baada ya hapo kinga ya kumtukana Rais wetu aliyopata miezi miwili itakuwa imekwisha baada ya hapo arudi kwao Ubelgiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…