SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 90
- 53
MALAIKA WA ISRAEL NA VITA YA WAARABU.
Ilikua wakati mmoja ambapo waisrael walikua katika mapumziko ya siku takatifu zaidi katika utamaduni na dini ya Kiyahudi na Kisamaria ambayo huangukia mwishoni mwa September ila mara nyingi ni October. Siku hio maduka hufungwa na kiufupi huduma nyingi hua hazipo kasoro zile za dharura au lazima sana. Hapa zamani ilihusisha hata wanajeshi pia walipata likizo wengi hawakua kazini.
Tar 4 October 1973 kuna mwanamke anapiga simu Mossad HQ kua "the Angel" anahitaji kuonana na "general" kesho kujadili "Kemikali". Mossad kusikia kemikali wanapagawa.
Boss Zvir Zamir wa Mossad anachukua ndege mpaka London, Uingereza anakutana na "Malaika". Anapewa habari ambayo ilimstua kuliko kawaida. Anauliza kama ni kweli anaambiwa na "Malaika" hawana muda afanye kazi yake.
Ananyanyua simu moja kwenda kwa Mkuu wa IDF anasema nae atakuepo Tel Aviv muda sio mrefu. Jamii ya majasusi Israel Mossad, Shin Bet na Aman hawaelewi walichoskia..... Lakini walikua hawana muda wa kuulizana kwanini hawakujua hadi wakati huo. Walikua na chini ya saa 24 kuchagua kuangamia au kujiokoa.... aiseeeee
Walisikia nini?
"The Angel" alikua ni nani au nini hasa?
Je, Israel ilisalimika vipi!?
Yote yapo hapa>>>>