Malaika aliyeiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya Waarabu miaka 50 iliyopita. Wakati huu Israel hawakua na bahati

SaintErick

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
90
Reaction score
53
MALAIKA WA ISRAEL NA VITA YA WAARABU.
Ilikua wakati mmoja ambapo waisrael walikua katika mapumziko ya siku takatifu zaidi katika utamaduni na dini ya Kiyahudi na Kisamaria ambayo huangukia mwishoni mwa September ila mara nyingi ni October. Siku hio maduka hufungwa na kiufupi huduma nyingi hua hazipo kasoro zile za dharura au lazima sana. Hapa zamani ilihusisha hata wanajeshi pia walipata likizo wengi hawakua kazini.

Tar 4 October 1973 kuna mwanamke anapiga simu Mossad HQ kua "the Angel" anahitaji kuonana na "general" kesho kujadili "Kemikali". Mossad kusikia kemikali wanapagawa.

Boss Zvir Zamir wa Mossad anachukua ndege mpaka London, Uingereza anakutana na "Malaika". Anapewa habari ambayo ilimstua kuliko kawaida. Anauliza kama ni kweli anaambiwa na "Malaika" hawana muda afanye kazi yake.

Ananyanyua simu moja kwenda kwa Mkuu wa IDF anasema nae atakuepo Tel Aviv muda sio mrefu. Jamii ya majasusi Israel Mossad, Shin Bet na Aman hawaelewi walichoskia..... Lakini walikua hawana muda wa kuulizana kwanini hawakujua hadi wakati huo. Walikua na chini ya saa 24 kuchagua kuangamia au kujiokoa.... aiseeeee

Walisikia nini?
"The Angel" alikua ni nani au nini hasa?
Je, Israel ilisalimika vipi!?
Yote yapo hapa>>>>
 
Aliyewaokoa alikuwa mfalme wa morocco ambae alikuwa hakubaliani na msimamo wa nchi hizo tatu ambao ni egypt , syria na jordan akavujisha siri na mossad wakawepo kwenye hotel ambapo mkutano ulifanyika na vilevile mfalme huyo wa morocco akarecord mkutano wote akawatumia israel ndio akawashamblia kabla ya kutekeleza mipango yao
Ni nchi tatu za kiarabu siyo waarabu wote kama watu wanavyoeneza ni egypt, jordan na syria na huku israel ikisaidiwa na marekani , uk na france
 
Attachments

  • Screenshot_20231214-195922_Chrome.jpg
    Screenshot_20231214-195922_Chrome.jpg
    132 KB · Views: 5
Hio ya Morocco ina kesi ndogo sana hata hio vita vya siku sita kuna story ndefu sana. Siku tukijaaliwa tutaona nani alifany nini kwa kiasi gani. The Angel yeye alikuja miaka sita baada ya 1967!
 
Kwa sasa Mashoga hayana nafasi ya.kushinda bila kuonja ladha ya maumivu ama kusaidiwa na jamii nyingine ya mashoga
Sina hakika kama hawawezi kushinda. Nina hakika vita wanashinda labda kufikia malengo ndio jambo jingine. Sioni wakiwa wanafeli
 
Ntakupa mfano katika vita ya 1967 Israel alishinda vita na alitimiza malengo yake kwa 100%.
Vita ya 1973 Israel alishinda vita ila kamwe hakutekeleza malengo. Kwa hio nnaposema atashinda vita ndio naaminisha ataweza ila kutimiza malengo nmetilia mashaka kwa maana kwa kuilinda Israel dhid ya Hamas baada ya Oktoba 7.
Hilo la kusambaratisha Hamas nilisema juzi (soma kwenye kielelezo post ya juzi) kua Hamas ni itikadi na wazo katika dini halifutiki ila Hamas km kikundi cha wanamgambo ndio wanaweza kukiondoa.
 
Hilo la kusambaratisha Hamas nilisema juzi (soma kwenye kielelezo post ya juzi) kua Hamas ni itikadi na wazo katika dini halifutiki ila Hamas km kikundi cha wanamgambo ndio wanaweza kukiondoa.i
I guarantee u after this war kikundi cha hamas hakiwezi kufutika as the result they will continue to train and look for arternative ways to harm israel kwa kushirikiana na iran ambae anamiliki hezbollah na houthi its a political game netanyahu anacheza next year kuna election atawaambia nini waisrael ambao ndugu zao wametekwa na hawajapatikana na usalama wao duniani kote umekuwa mdogo kwa chuki aliyeitengeneza yeye mwenyewe kupitia vita hii
 
Lakini kitu ambacho jihadists wanatakiwa kufahamu ni kwamba magaidi wa Hamas piga garagaza hawatakaa waitawale tena ukanda wa Gaza hata wasipofutwa na wakiendeleza ugaidi wao ndio watazidi kuwaponza zaidi wapalestina wenzao.
 
The signs of the times show that the regime in Teheran has no future because its government has proved to be the main sponsor of terror in our today's world.
 
The signs of the times show that the regime in Teheran has no future because it's the government that has proved to be the main sponsor of terror in our today's world.
INategemea upeo wako nani anayewa label kuwa huyu terrorist na huyu sio terrorist?? Mandela aliitwa terrorist miaka yake yote na hao magharibi au hujui hilo?kwani hujui kuwa israel marekani na magharibi wanafanya vitendo va kigaidi kwenye nchi nyingi sema hakuna wa kuwanyooshea kidole
Iran ipo na itaendelea kuwaaumbua kama ilivyo russia, china na north korea kutofuata sera za mgharibi siyo ugaidi
 
Aliyewaokoa alikuwa mfalme wa morocco ambae alikuwa hakubaliani na msimamo wa nchi hizo tatu ambao ni egypt , syria na jordan akavujisha siri na mossad wakawepo kwenye hotel ambapo mkutano ulifanyika na vilevile mfalme huyo wa morocco akarecord mkutano wote akawatumia israel ndio akawashamblia kabla ya kutekeleza mipango yao
Ni nchi tatu za kiarabu siyo waarabu wote kama watu wanavyoeneza ni egypt, jordan na syria na huku israel ikisaidiwa na marekani , uk na france
Kila Upande ulisaidiwa. Upande wa Israel walisaidiwa Silaha tu kutoka Marekani. Kwa upande wa Waarabu,Urusi sio kwamba tu aliisaidia Misri dhana za kijeshi Bali alituma mpaka Wanajeshi wa Soviets kule Sinai. Baada ya Urusi kuona ndege za Mig-21 alizowapa Misri zinatunguliwa Sana na SAMs za Israel,Urusi akajua Wamisri wameshindwa kuzitumia ndege hizo ndipo Urusi ikatuma Ma Pilot 400 kwenda Misri.
 
Unajua kwamba hii vita tu na hamas marekani uingereza na france ukiacha silaha na pesa umepeleka meli za kivita na wanajeshi kuisaidia israel?
 
Kwa sasa Mashoga hayana nafasi ya.kushinda bila kuonja ladha ya maumivu ama kusaidiwa na jamii nyingine ya mashoga
Usimdharau shoga hata siku moja, ona madada poa wenzako wanavyoangamizwa mpaka wanataka kubadili jinsia wenyewe na kuwa mashoga.
 
Aliyewaokoa alikuwa mfalme wa morocco ambae alikuwa hakubaliani na msimamo wa nchi hizo tatu ambao ni egypt , syria na jordan akavujisha siri na mossad wakawepo kwenye hotel ambapo mkutano ulifanyika na vilevile mfalme huyo wa morocco akarecord mkutano wote akawatumia israel ndio akawashamblia kabla ya kutekeleza mipango yao
Ni nchi tatu za kiarabu siyo waarabu wote kama watu wanavyoeneza ni egypt, jordan na syria na huku israel ikisaidiwa na marekani , uk na france
sasa wewe ndio unaongea kama umetoka usingizini na huko usingizini ulikuwa unakunywa mkojo wa ngamia. story ya kutunga, mwarabu tangu lini amsaidie myahudi wakati hata kwenye kitabu wamekatazwa?
 
Muwe mnafuatilia basi international news kabla hamjaonyesha ujinga wenu
 
Attachments

  • Screenshot_20231217-005619_Chrome.jpg
    Screenshot_20231217-005619_Chrome.jpg
    132.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231217-010210_Chrome.jpg
    Screenshot_20231217-010210_Chrome.jpg
    140.7 KB · Views: 5
Ntakupa mfano katika vita ya 1967 Israel alishinda vita na alitimiza malengo yake kwa 100%.
Vita ya 1973 Israel alishinda vita ila kamwe hakutekeleza malengo. Kwa hio nnaposema atashinda vita ndio naaminisha ataweza ila kutimiza malengo nmetilia mashaka kwa maana kwa kuilinda Israel dhid ya Hamas baada ya Oktoba 7.
Hilo la kusambaratisha Hamas nilisema juzi (soma kwenye kielelezo post ya juzi) kua Hamas ni itikadi na wazo katika dini halifutiki ila Hamas km kikundi cha wanamgambo ndio wanaweza kukiondoa.
Hamas ni itikadi ya nini? Usije ukafungamanisha hamas na imani za kidini utakuwa unakosea Sana.
 
Lakini kitu ambacho jihadists wanatakiwa kufahamu ni kwamba magaidi wa Hamas piga garagaza hawatakaa waitawale tena ukanda wa Gaza hata wasipofutwa na wakiendeleza ugaidi wao ndio watazidi kuwaponza zaidi wapalestina wenzao.
Wazayuni mnatakiwa muelewe anaeweza kuifuta hamas isitawale ukanda wa ghaza ni hamas wenyewe
 
Back
Top Bottom