Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane
kwanza hakuna malaika waasi wenye mapembe na hawatishi kama kwenye hizo picha kinyume chake malaika waovu ni wazuri (mahandsome ambao huwez walinganisha na binadam yeyote kwa uzur) ....pili unabii wa ufunuo 9 unahusu kuinuka kwa dini ya islamic chini ya allah na mtume mohamad S.W.A
 
hak
Hayo yatatokea baada ya UNYAKUO, ni pale 666 itakapoanza Rasmi,

Mabadiliko tunayopitia sasa ni nusu shari,

Watakaoachwa wasinyakuliwe, waliomkataa Yesu wataucheza muziki huo.

Kuzimu na Majeshi yote yatapanda duniani kushughulikia na wanadamu Walio hai.
unyakuo wa siri haupo.....na hiyo video ni uongo mtupu hakuna giza la siku tatu wala nn ....sababu et hyo video inasema et photon zitakuwa kati kati ya dunia na jua hivyo kublock mwanga na kusababisha giza.....hii ni uongo ulio waz kwan photon yenyewe ni bundle of light na sio opaque material ivyo haiwez zuia mwanga hata kidogo....physics ya form 2 inakataa hapa by mm niliyeishia form 3C
 
DR Mambo Jambo zitto junior Eli Cohen Mathanzua Rabbon pitieni hapa.

Hao nzige wa kuzimu wana Sifa za kipekee na ni kwa ajili ya kuwaadhibu wanadamu wasio na mihuri ya Mungu watakapokuwepo wakati huo (hao sio nzige wa kawaida, hao ni watesaji tu).......

nzige tulionao Sasa wanaosumbua ni wale wa jangwani (Desert Locust) hawa wameongezeka sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa sidhani kama wana uhusiano wa moja kwa moja.

Ila huenda mabadiliko ya hali ya hewa yakawa dalili za kuelekea kwenye ule mwisho ila bado sio mwisho wenyewe.
Dah kuna Vitu vingi sana vya kuongelea Hapo Its just an apocalyps and it may contains Numerology and Astrollogy and Kind of Allegory..

Na hata Huyo Anayemuita Abadon maana Yake ni Bottomless pit kiswahili Limetoka kwenye Tafsiri ya Kiebrania so malaika wa Tano ndo aliyefungua Hiyo Bottomless Pit yaani kuzimu..

Kuna vingi sana vya kuongea hapa..
Ukiwa tayar nishtue
 
Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane
Ufunuo 9 inafikirisha sana to be frank.Ikumbukwe hata hivyo kwamba "kuzimu" ambapo kwa Kiingereza ni "endless pit," ndiyo makao ya malaika walioasi.Infact hata Shetani katika kifungo chake cha miaka 1000 wakati Bwana Yesu atakapoitawala Dunia kabla ya kuharibiwa na kuwa na Mbingu mpya na Dunia mpya, atakuwa amefungwa huko.

What does this mean. Huyu Abandon naye ni malaika aliyeasi,kwa hiyo atashirikiana na Satan's agents ili kuwatesa wanadamu ambao wanamuamini Kristo,na ndio maana yeye ndiye kiongozi wa hao nzige wa ajabu.Ila naomba ikumbukwe, kwamba Mungu naye kwa upande wake atatumia demonic entities hizo hizo kuwatesa wasiomuamini Kristo.

Ili Abadon atoke kwenye hiyo endless pit, nani ataifungua?Malaika walioasi hawana miili,kwa hiyo it is expected that human agents ndio watakao fungua hilo shimo.Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire" or European Council for Nuclear Research is carrying out a very bizzare research, which includes boring the inner Earth,which is a very dangerous undertaking by any measure.

View: https://youtu.be/fzzxjqoXlkA?si=7IY8E_Fl6TOxdNcw
So we strongly believe that CERN is doing Satan's dirty job of opening the endless pit,thus bringing forth Abadon.

And what are these bizzare locusts.These are not locusts as we know them.If one reads between the lines Revelation 9,he can easily see that the explanation fits very well Sentient Artificial Intelligence Robotic Entities.With the level of recent AI breakthrougs,it is not difficult to see that Satan in collaboration with his human agents,can easily do this.

Kuhusu tukio la tarehe 4 April 2024 la kupatwa kwa Jua,yes linafana na la Mathayo 24:29 somehow,lakini sidhani kama katika tukio hilo Nyota zitaanguka!Tusubiri.

You can also read Revelations 6:29-31 which sort of resembles Revelation 9.

Revelation 6:29-31
29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka Mbinguni, na nguvu za Mbinguni zitatikisika
30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya Mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.

Hata hivyo tukio hili la Mathayo 24:29 litatokea baada ya Dhiki Kuu kama maandiko yanavyo onesha,na kwa sasa Dhiki Kuu bado,kwa hiyo sio lenyewe.Halafuu, tukumbuke kwamba tukio kama hilo linapotokea, kama ni sign kwa Wana wa Mungu wote, linatokea Dunia nzima.Hili kama nilivyolielewa litatokea Marekani tu.Notice Mathayo 24:30, kwamba baada ya tukio hilo Mwana wa Adamu ataoneka Mawinguni.However, this contradicts Mathew 24:6,
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.

Soma pia Ufunuo 6:12-15,lakini tukio hili ni wakati wa Dhiki Kuu.
Ufunuo wa Yohana 6:12-15
12 Nami nikaona, alipoifungua muhuri ya sita, palikuwa na tetemeko kuu la nchi; jua likawa jeusi kama gunia la singa, mwezi wote ukawa kama damu,
Ufunuo wa Yohana 6:12

13 na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.
Ufunuo wa Yohana 6:13

14 Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake.
Ufunuo wa Yohana 6:14

15 Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima,
Ufunuo wa Yohana 6:15
 
Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane
Mtag Rabbon
 
Sikuwahi jua kuwa 3days ni dakika 3,
Mkuu
Nashukuru sana umesogeza goli la uelewa kwenye mawanda mapana sana.

Umeidadavua kwa akili sana hii issue ya malaika walioasi. Lakini nikienda hatua moja mbele nimeona hao nzige wamepewa wajihi tofauti na stingy instects. Wapo na features za binadamu na kibaya zaidi kuna features za kike. Najiuliza why?

Umepredict inawezekana Artificial Intelligent itakuwa ni sehemu ya kusababisha hii plaque.

Ninatafakari sana hapa
 
DR Mambo Jambo zitto junior Eli Cohen Mathanzua Rabbon pitieni hapa.

Hao nzige wa kuzimu wana Sifa za kipekee na ni kwa ajili ya kuwaadhibu wanadamu wasio na mihuri ya Mungu watakapokuwepo wakati huo (hao sio nzige wa kawaida, hao ni watesaji tu).......

nzige tulionao Sasa wanaosumbua ni wale wa jangwani (Desert Locust) hawa wameongezeka sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa sidhani kama wana uhusiano wa moja kwa moja.

Ila huenda mabadiliko ya hali ya hewa yakawa dalili za kuelekea kwenye ule mwisho ila bado sio mwisho wenyewe.
Hao nzige wenye meno kama nge na mabawa, na Wana nywele kama za mwanamke wenye sura kama ya mwanadamu ni MAPEPO. Majeshi hayo ya shetani yatafunguliwa na wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa na hao, na wataonekana wazi wazi Si kificho tena.

PEPO katika mwili wa kipepo huonekana hivyo, aweza kuwa na miguu ya mnyama katikati mwanadamu, KICHWA Cha Simba , au ni kenge mwenye KICHWA Cha mwanadamu, au ndege mwenye sura ya mwanadamunk nk

Ni viumbe wa kiroho hao.

Niliandika Thread isemayo : Live kutoka kuzimu-Rabbon.

Wapo wajinga walidai kuzimu hakuna moto,

Ukisoma hapo juu, Malaika anafungua mfuniko wa shimo la KUZIMU, unatoka Moshi unaofunika anga.

Ndo ujiulize Moshi utatoka bila kuwapo moto?
 
Mtag Rabbon
Nilishafika kitambo.

Kuna mapepo yamekuwa yakidanganya watu kuwa kuzimu haipo na hakuna moto,

Hapo, Malaika anafungua shimo la KUZIMU, na unatoka Moshi mkubwa unaofunika anga lote,

Moshi ni matokeo ya moto!!

Na hao nzige wenye nywele kama za mwanamke, wenye meno kama nge na sura ya mwanadamu ni MAPEPO.

Mwonekano wa mapepo ndivyo ilivyo, ni mixer ya mtu na mnyama, mdudu au ndege, mawe nk nk

Siku hizo wataonekana wazi wazi.
 
Hao nzige wenye meno kama nge na mabawa, na Wana nywele kama za mwanamke wenye sura kama ya mwanadamu ni MAPEPO. Majeshi hayo ya shetani yatafunguliwa na wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa na hao, na wataonekana wazi wazi Si kificho tena.

PEPO katika mwili wa kipepo huonekana hivyo, aweza kuwa na miguu ya mnyama katikati mwanadamu, KICHWA Cha Simba , au ni kenge mwenye KICHWA Cha mwanadamu, au ndege mwenye sura ya mwanadamunk nk

Ni viumbe wa kiroho hao.

Niliandika Thread isemayo : Live kuoka kuzimu-Rabbon.

Wapo wajinga walidai kuzimu hakuna moto,

Ukisoma hapo juu, Malaika anafungua mfuniko wa shimo la KUZIMU, unatoka Moshi unaofunika anga.

Ndo ujiulize Moshi utatoka bila kuwapo moto?
Ni kweli Rabbon,hao ni interdimensional beings.Wapo wafanyakazi wameacha kazi Google baada ya kugundua kwamba what they call AI actually kumbe ni demonic entities or interdimensional beings imbeded in hardware as what is called software.So with the technology which Satan has made available to his people,it is hardly impossible for them to create such things.
 
Unapodadisi nguvu za kuzimu isiwe kama kitisho kwa wanadamu kwa maana sisi wanadamu mlinzi wetu ni YESU KRISTO jamii wa SIMBA WA YUDA JEMEDARI WA VITA. huyo pekee ndio tungewekeza nguvu kubwa kumsoma, kumuelewa na kumfuata maana alipo yeye hao apoliyon hawaingii.
Asante Maana Ulinzi Tosha Ni YESU tuwekeze nguvu sana Kumjua Yeye
 
Ni kweli Rabbon,hao ni interdimensional beings.Wapo wafanyakazi wameacha kazi Google baada ya kugundua kwamba what they call AI actually kumbe ni demonic entities or interdimensional beings.So with the technology which Satan has made available to his people,it is hardly impossible for them to create such things.
Hao ndio wanalitesa Dunia Kwa sasa,

Hata kwetu nchini wapo, very intelligent,strategic, bt ni strategic katika kupanga UOVU,

Ni mapepo katika form ya WANADAMU, Kwa nje ni mtu, ndani ni mixer mtu na myama au JOKA.

Mungu yupo, atawaondoa tu, watu wa Mungu tupumue angalau Kwa uchache.
 
Rabbon ni kwamba Mungu amekupa silaha za kuweza kumshinda Shetani.Hizi hapa👇
Waefeso 6:11-18
11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
14 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani,
15 na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani;
16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
18 kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;

So Rabbon God on His side has already played His part,ame-avail silaha za wewe kuweza kushinda,so play your part,vaa hizo silaha.Kama hujavaa hizo silaha ina maana unataka hizo interdimensional entities ziendelee kuwepo na kukutesa,God cannot force His will on you.
 
hak

unyakuo wa siri haupo.....na hiyo video ni uongo mtupu hakuna giza la siku tatu wala nn ....sababu et hyo video inasema et photon zitakuwa kati kati ya dunia na jua hivyo kublock mwanga na kusababisha giza.....hii ni uongo ulio waz kwan photon yenyewe ni bundle of light na sio opaque material ivyo haiwez zuia mwanga hata kidogo....physics ya form 2 inakataa hapa by mm niliyeishia form 3C
Thanks Agent.. 4 7
 
Hicho kitabu kizima cha ufunuo wa Yohana hakistaholi kuorodheshwa kwenye biblia. Ni miixer ya ndoto pamoja na imaginatove thinking. Kinatisha sana na maja nyinyi hutumuwa na wahubiri mwenye itikadi kali na doomsday conspiracies. Mara wadai 666 is the sign of the beast.
 
Haya mawazo kwamba Kitabu cha Ufunuo wa Yohana hakipaswi kuwepo umeyatoa wapi,tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom