Wana JF, umofia kwenu.
Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).
View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715
Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718
Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.
Karibuni tuelimishane
Ufunuo 9 inafikirisha sana to be frank.Ikumbukwe hata hivyo kwamba "kuzimu" ambapo kwa Kiingereza ni "endless pit," ndiyo makao ya malaika walioasi.Infact hata Shetani katika kifungo chake cha miaka 1000 wakati Bwana Yesu atakapoitawala Dunia kabla ya kuharibiwa na kuwa na Mbingu mpya na Dunia mpya, atakuwa amefungwa huko.
What does this mean. Huyu Abandon naye ni malaika aliyeasi,kwa hiyo atashirikiana na Satan's agents ili kuwatesa wanadamu ambao wanamuamini Kristo,na ndio maana yeye ndiye kiongozi wa hao nzige wa ajabu.Ila naomba ikumbukwe, kwamba Mungu naye kwa upande wake atatumia demonic entities hizo hizo kuwatesa wasiomuamini Kristo.
Ili Abadon atoke kwenye hiyo endless pit, nani ataifungua?Malaika walioasi hawana miili,kwa hiyo it is expected that human agents ndio watakao fungua hilo shimo.
Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire" or European Council for Nuclear Research is carrying out a very bizzare research, which includes boring the inner Earth,which is a very dangerous undertaking by any measure.
View: https://youtu.be/fzzxjqoXlkA?si=7IY8E_Fl6TOxdNcw
So we strongly believe that CERN is doing Satan's dirty job of opening the endless pit,thus bringing forth Abadon.
And what are these bizzare locusts.These are not locusts as we know them.If one reads between the lines Revelation 9,he can easily see that the explanation fits very well Sentient Artificial Intelligence Robotic Entities.With the level of recent AI breakthrougs,it is not difficult to see that Satan in collaboration with his human agents,can easily do this.
Kuhusu tukio la tarehe 4 April 2024 la kupatwa kwa Jua,yes linafana na la Mathayo 24:29 somehow,lakini sidhani kama katika tukio hilo Nyota zitaanguka!Tusubiri.
You can also read Revelations 6:29-31 which sort of resembles Revelation 9.
Revelation 6:29-31
29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka Mbinguni, na nguvu za Mbinguni zitatikisika
30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya Mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.
Hata hivyo tukio hili la Mathayo 24:29 litatokea baada ya Dhiki Kuu kama maandiko yanavyo onesha,na kwa sasa Dhiki Kuu bado,kwa hiyo sio lenyewe.Halafuu, tukumbuke kwamba tukio kama hilo linapotokea, kama ni sign kwa Wana wa Mungu wote, linatokea Dunia nzima.Hili kama nilivyolielewa litatokea Marekani tu.Notice Mathayo 24:30, kwamba baada ya tukio hilo Mwana wa Adamu ataoneka Mawinguni.However, this contradicts Mathew 24:6,
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Soma pia Ufunuo 6:12-15,lakini tukio hili ni wakati wa Dhiki Kuu.
Ufunuo wa Yohana 6:12-15
12 Nami nikaona, alipoifungua muhuri ya sita, palikuwa na tetemeko kuu la nchi; jua likawa jeusi kama gunia la singa, mwezi wote ukawa kama damu,
Ufunuo wa Yohana 6:12
13 na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.
Ufunuo wa Yohana 6:13
14 Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake.
Ufunuo wa Yohana 6:14
15 Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima,
Ufunuo wa Yohana 6:15