Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha....

Sio maneno yangu ila andiko hili hapa....

sahih al-bukhari 3237
Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have sexual relation) and she refuses and causes him to sleep in anger, the angels will curse her till morning."
 
Jamaa alikuwa anapenda wanawake sana. Hapa aliwatisha kidogo. Kwamba ameona moto wa Jehanamu na wanawake ndio wako weng. Tena wale ambao hawana shukran kwa wanaume zao.

Sio Shukran kwa allah. Hapana. Kwa wanaume zao. 😎😎😎😎

Sahih al-bukhar 29
"I was shown the Hell-fire and that the majority of its dwellers were women who were ungrateful." It was asked, "Do they disbelieve in Allah?" (or are they ungrateful to Allah?) He replied, "They are ungrateful to their husbands and are ungrateful for the favors and the good (charitable deeds) done to them...
 
Back
Top Bottom