kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
mi natiririka na tigo, mitandao mingine sina hakikaKwa vodacom wameshaiondoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi natiririka na tigo, mitandao mingine sina hakikaKwa vodacom wameshaiondoa
Inaonekana wasio na uwezo wa kununua hivyo vifurushi ndo hao unaosema wajinga wapungue mitandaoni... Mkuu wewe ni masaburiMimi vocha nitanunua na bando nitajiunga. Kwanza niseme wazi Bei iongezeke maradufu wajinga wapungue mitandaoni
Hilo jamaa ni takataka... Mijitu mingine ilizaliwa chooni sijui?Ina maana wajinga hawana pesa ya kununua vocha?
Vipi kuhusu wanafunzi wa chini na wa juu wanaotegemea mitandao kusomea nao ni wajinga?
nnchi gani kwanza maana nnchi nyingi wanatumia fiber na fiber ni bei rahisi na unakuta ipo kila mahali wao bando zao za kawaida wanazotumia ni zakupigiana sana sana maana akiwa jazini wifi nyumbani wifi kwenye usafiri wifiiKabisa na ndio maana HAKUNA wajinga mitandaoni
Bunduki bila risasi imebeba mzigo. The same for ur comment.Smart4n bila vocha ni kama Masai bila rungu.
Pamoja sana mkuu.Sorry mkuu
Hapa solution lazima ipatikane!!!Tukubali kuendelea kuumizwa?
Mimi narudi humu,sipendagi ujingaSmart4n bila vocha ni kama Masai bila rungu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huna jeuri hiyo.Mimi narudi humu,sipendagi ujingaView attachment 1741397
Hapa hata wewe tayari unatembea nje ya chaki.Tuweke bundle ili tuwaambie wengine wasinunue vocha.
HahahaHapa hata wewe tayari unatembea nje ya chaki.
hahahahaaaaaaaaa, mimi nitanunua kwa bei yoyoteOngezeko jipya la bei za vifurushi bila shaka ni matokeo ya mazungumzo baina ya waziri mwenye dhamana na wamiliki wa mitandao ya simu.
Tuoneshe kupinga kwa vitendo tusinunue vocha tuziache simu zetu hewani bila vocha mpaka pale watakaposhusha gharama za vifurushi tunaumizwa kwa kweli.
Wenye mitandao watakosa fedha na hiyo itapelekea hata serikali kukosa fedha ambazo wanapata kama kodi lazima watakaa chini kuangalia upya vifurushi vya simu lakini kama tutakua tunalalamika halafu tunaendelea kununua vifurushi vyao hawatahangaika na sisi.