Weee hii ni vutia mteja, laini ikikomaa wanaondoa offerSajili Line ya royal
Utapata dk 300 halo-halo
Dk 120 mitandao yote
Internet bila kikomo mwezi nzima
Na zikibaki wanaunga mwezi unaofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wewe babe, hata mimi wameniondolea ofa zote nzuri.....siwezi vumulia upuuzi huo nahamia halotel😎Yan mimi kifurushi cha bei nafuu ni 3k kwa week tena bila SMS wala dk napata GB 1.5 shenzi zao kabisa na University offer wameniondolea
Shukuri hata hizo Voda wanakupa 100
Halotel unafuu upo ukijiunga kwa halopesa ila nao siku hiz wameanza kuzidiwa, mtandao upo slowSio wewe babe, hata mimi wameniondolea ofa zote nzuri.....siwezi vumulia upuuzi huo nahamia halotel😎
Ukikohoa zimeisha 🤣🤣Shukuri hata hizo Voda wanakupa 100
Yani uki view status mbili za WhatsApp fyuuu ka sms kanaingia, usiombe ukaingia Telegram sasa na auto download ya video na GIF ziko maweeeeUkikohoa zimeisha 🤣🤣
Dah, mbona tutateseka saanaHalotel unafuu upo ukijiunga kwa halopesa ila nao siku hiz wameanza kuzidiwa, mtandao upo slow
unasoma chuo ganiBinafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Nipo nasema bundle la wiki la 2000 linagoma wanataka 3000 ghafla tu Jamani?nikadhani Simu yangu mbovu.Tigo bye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usiku wenyewe ni kuanzia saa 7 mwisho saa 12Heeee! Basi sikuelewa hilo nikajua ni muda wote, wakatongozane wenyewe na hizo dakika basi!
Tatizo halotel mtandao upo slowToka nioe mke mdogo (Halotel) sijawahi juta na mke mkubwa (tigo) nilimuacha rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekaa vizuri.
Wameniwekea gb20 kwa 10k
Sent from my iPhone using JamiiForums