Inawezekana msio wanachuo mnakuwa wengi kwenye bando lwa wanachuo mnawapunguzia bandwidth wanachuo na kampuni haipati faida.Hata wanachuo kaka kuna nilioongea nao wanasema wameporwa hilo bando... Sijui kwa wengine.
It depends on your locationTatizo halotel mtandao upo slow
Haswaaa... Ukiwa na line nyingi Wala huumizi kichwaAisee na mm wameniondolea package ya chuo ,
hii ndo raha ya kuwa na laini nyingi una exchange tu Tigo itabaki ni ya kupokea simu tu [emoji23] .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh mbona nipo mjini kabisaIt depends on your location
Me mbona wamenitolea na bado niko chuoniInawezekana msio wanachuo mnakuwa wengi kwenye bando lwa wanachuo mnawapunguzia bandwidth wanachuo na kampuni haipati faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wadoezi wa bando la chuo ni wengi sana wanawaharibia mpaka wanachuo wa kweli.Me mbona wamenitolea na bado niko chuoni
Lakini ndo ipo hivyo hata mitandao mingine...,ambao si wanachuo wanapata bando la chuo ilimradi wawe na laini za chuo.... Labda kama hii oparesheni wameianza wao hapo sawa.Inawezekana msio wanachuo mnakuwa wengi kwenye bando lwa wanachuo mnawapunguzia bandwidth wanachuo na kampuni haipati faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha
Wametuharibia sanaInawezekana wadoezi wa bando la chuo ni wengi sana wanawaharibia mpaka wanachuo wa kweli.
Sitetei makampuni ya simu, yana tamaa sana.
Ila kwa hili la bando la chuo, inaonekana bando lina wadoezi wengi sana mpaka linakosa maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye miji top ya tz niliyotembelea inashika vizur mjini kama upo kwenye hiyo miji maeneo yenye potential halafu unapata tatizo la data connection itakuwa kuna shida nyingine.Mhh mbona nipo mjini kabisa
Kwa kweli internet ya tigo haikai kabisa sawa na ile ya voda tuNgoja nirudishe laini ya tigo. Hizi bando ni rafiki sana... ila tatizo internet yao inakatika mapema sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ngoja nijongee huko palipo noga.
Hakuna mtandao mzuri siku hizi halotel nao wameshabadilika sana gharama zao siku hizi ni kubwa kama makampuni mengine tu.Vodacom niliipaki two year kwa ajili napokea simu tu, ila sasa Tigo nayo naipaki kuanzia leo,,
Wakuu nihamie wapi? Airtel/halotel/
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukiwa na simu nzuri hawakupi MB hata siku moja.Wanatulazimisha kukesha,wengine simu zetu za tochi wanatupa MaGb tuyafanyie nini?
Hawa Jamaa wanazingua kusema kweliYani mwenzenu nimekata tamaa na bando za tigo zimebadilika ghafla bila taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app