Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Me mbona wamenitolea na bado niko chuoni
Inawezekana wadoezi wa bando la chuo ni wengi sana wanawaharibia mpaka wanachuo wa kweli.

Sitetei makampuni ya simu, yana tamaa sana.

Ila kwa hili la bando la chuo, inaonekana bando lina wadoezi wengi sana mpaka linakosa maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana msio wanachuo mnakuwa wengi kwenye bando lwa wanachuo mnawapunguzia bandwidth wanachuo na kampuni haipati faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ndo ipo hivyo hata mitandao mingine...,ambao si wanachuo wanapata bando la chuo ilimradi wawe na laini za chuo.... Labda kama hii oparesheni wameianza wao hapo sawa.
 
Inawezekana wadoezi wa bando la chuo ni wengi sana wanawaharibia mpaka wanachuo wa kweli.

Sitetei makampuni ya simu, yana tamaa sana.

Ila kwa hili la bando la chuo, inaonekana bando lina wadoezi wengi sana mpaka linakosa maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wametuharibia sana
 
Mhh mbona nipo mjini kabisa
Kwenye miji top ya tz niliyotembelea inashika vizur mjini kama upo kwenye hiyo miji maeneo yenye potential halafu unapata tatizo la data connection itakuwa kuna shida nyingine.
 
Back
Top Bottom