Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Wanyonge ni watu wenye cfa gani? Maana kila sehemu mwananchi akilalamikia jambo anajiita MNYONGE! Nisaidieni ili nami nijue icjekuwa nami ni MNYONGE ila cjijui tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Line yako ni ya mwanachuo au wewe ni mwanachuo?

Labda wamekuhakiki wakaona huna vigezo vya uanachuo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameniwekea gb20 kwa 10k

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wameniwekea gb20 kwa 10k

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaolalamika wote ni wale wa kima cha chini, nadhani ni mpango wa TIGO kuwapunguza maana mnajaza traffic Wateja wakubwa wanakosa network.

Au la muhamie kwenye hizo bando kubwa, uchumi wa nchi unakua nyie hamkui.
 
Kmmk 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom