Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Salary slip Kuna shida, baada ya kukuona uzi huu, deni la mwezi Mei na juni tofauti ni Sh.19 tu, licha ya salary slip kuonesha nimekatwa kama kawaida.Inshort mwezi huu nimekatwa sh.19 na takehome imebaki ileile kama ya mwezi Mei.Hivi Hazina imehamia Dodoma au ipo Dar?
HII IMENIKUTA NA MIMI... Bado nashangaa
 
Washenz hawa wamekata 129k lakini deni lipo palepale...huu uhuni lazima tuwapandie huko hulo
 
Salary slip Kuna shida, baada ya kukuona uzi huu, deni la mwezi Mei na juni tofauti ni Sh.19 tu, licha ya salary slip kuonesha nimekatwa kama kawaida.Inshort mwezi huu nimekatwa sh.19 na takehome imebaki ileile kama ya mwezi Mei.Hivi Hazina imehamia Dodoma au ipo Dar?
Its true, salary slip za mwezi huu zina shida, mie kwangu wamekata pesa ila deni limepungua kwa sh 15, na take home imebaki ile ile.
 
Hilo deni, bodi ni as if hawataki liishe. Hata ukimaliza kulipa na ukapewa barua ya kumaliza kulipa, siku moja ukijifanya kwenda kucheki tena unashangaa unadaiwa mamilioni. 😁
Hata mimi ukiwa unakuja kunicheki kama nakudai lazima nikupige tu, kwa nini huwezi kutulizana, yaani wewe unahisi kudaiwa tu, acha mpigwe...
 
Aisee na Mimi nna tatizo Kama lako..wamenikata ila deni hawajalipunguza liko vile vile,.najaribu kuwatafuta website yao haipatikan hewani..
Mimi pia wamekata ila deni lipo pale pale halijapungua. Mwezi Mei ilibaki 2,125,000 na June pamoja na kukata imebaki hiyo hiyo. Sijui Shida ni nini
 
Back
Top Bottom