Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Wangapi?

Wewe umejuaje wengi wamepatwa tatizo hilo?

Sasa humu ndio BODI?
Mambo mengine ukiona Kama hayakuhusu au yamezidi upeo wako unapita kimya tu.

Au imekuja kuwatafutia watu ban?
You must be a certified useless nincompoop.
 
Hata mm wamekata bila kupunguza amount ya mwezi uliopita na huu iko vile vile na washachukua 109,000/=

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine ukiona Kama hayakuhusu au yamezidi upeo wako unapita kimya tu.

Au imekuja kuwatafutia watu ban?
You must be a certified useless nincompoop.
Wewe DAFU MAJI, humu siyo bodi ya mikopo.

Wala bodi hawana akaunti humu.
 
Kwahiyo ww ulivyosema hukujua kama sio mwanasheria?
 
Habari wadau,

Kwa yeyote anayekwata na Bodi ya mkopo. Linganisha deni lako la mwezi May na deni lako la mwezi June kwenye salary slip yako utagundua.

Wamekata pesa ya mwezi June lakini deni limebaki lile lile la mwezi May. Pia kuna wengine wamekatwa pesa mwezi Juni mfano mtu amekatwa laki na elfu nane lakini ukicheki kwenye deni husika imepungua elfu kumi Tu pesa nyingine wamechukua kimya kimya.

Nadhani hii ni lengo maalum la Bodi ya mkopo kuhakikisha watumishi wasimalize deni lao mpaka wanaastaafu ili mugawane pension.

Wanafanya wizi kwenye salary slip Kwa vile wanajua watumishi wengi hawasomi deni husika kwenye salary slip.
 
Jamani mwenye namba yao ambayo inapatikana anitumie nyingine naona hazipatikani
 
Hii ni kweli kabisa mkuu. ''Pia kuna wengine wamekatwa pesa mwezi Juni mfano mtu amekatwa laki na elfu nane lakini ukicheki kwenye deni husika imepungua elfu kumi Tu pesa nyingine wamechukua kimya kimya''.

Hii imenitokea mimi.
 
They just dont care, mijitu ya meko ndio ina roho mbaya, mam anatakiwa asafishe yote hii midude
 
Sina cha kusema zaidi tu ya kuwapa pole. Mimi kaka yenu niliyesoma kwa boom la 2500 kwa siku, nilimaliza deni lao tangu 2016.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…