Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Mjinga tu huyo spika. Waliomchgua hawajitambui.
 
Hawakuwa watanzania bali ni kakaundi cha watu wachache wenye majeraha ya kupoteza ulaji mwaka 2020. Watanzania huwa hawana chuki ya namna hii huwa wanavumiliana na linapokuja swala la kitaifa huwa ni kitu kimoja.

Yes, ni kakikundi ka CCM kenye chuki ambapo hata glasi ya maji hawaachiani. Stupid CCM
 
Namshangaa huyo Tulia kama sio ujinga ni nini,kwamba yeye ni mgeni na Machadema ambao Huwa wanaombea Nchi ipate majanga Ili ccm eti ndio itaonekana Kushindwa hivyo watu watawachagua.

Kwamba Tulia hajui Chadema ni Kama Yang na Simba au?
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
 
Tulia ameonesha udhaifu mkubwa.Watu anapambana nao Jimboni,ana sera tofauti kwenye Bandari na mambo kama hayo eti anategemea Chadema wampiganie?

Tulia amewahi ona wapi Chadema wanapongeza jambo lolote la maendelea lililofanywa na Serikali?

Hivi bado anazunguka na majeneza ?
 
Makonda umerudi, karibu tena.
 
Kwa haya uliosema kweli naamini Tulia ni kilaza na bogus.
 
Spika gani unaendesha mjadala wa kitaifa kwa upendeleo?. Shame on you Tulia. Mwisho wa siku serikali ikaenda kubadilisha vifungu na kuwaita akina Mrisho Mpoto Kuja kuzodoa watu. Spika wa hovyo kuwahi tokea Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…