Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Huyo "kiongozi wa dini" lazima atakuwa Mwamakula tu. Rafiki yake kamanda Erythrocyte 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Kama ni kweli basi Mwamakula abarikiwe sanaHuyo "kiongozi wa dini" lazima atakuwa Mwamakula tu. Rafiki yake kamanda Erythrocyte 😁😁
Hawakuwa watanzania bali ni kakaundi cha watu wachache wenye majeraha ya kupoteza ulaji mwaka 2020. Watanzania huwa hawana chuki ya namna hii huwa wanavumiliana na linapokuja swala la kitaifa huwa ni kitu kimoja.
Na huko semeni kaiba kura 🤣 🤣 🤣
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
Katiba sio mwarobaini wa kila tatizo la Tanzania, haiwezi kuondoa ufisadi ambao umekwamisha kusonga mbele kwa mambo mengi.
Watanzania hatupendani, ni wanafiki tu.
HakikaAsilimia 57 kwa wagombea dhaifu Kama wale ni zaidi ya kuiba kura.
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
Hivi bado anazunguka na majeneza ?Namshangaa huyo Tulia kama sio ujinga ni nini,kwamba yeye ni mgeni na Machadema ambao Huwa wanaombea Nchi ipate majanga Ili ccm eti ndio itaonekana Kushindwa hivyo watu watawachagua.
Kwamba Tulia hajui Chadema ni Kama Yang na Simba au?
Tulia ameonesha udhaifu mkubwa.Watu anapambana nao Jimboni,ana sera tofauti kwenye Bandari na mambo kama hayo eti anategemea Chadema wampiganie?
Tulia amewahi ona wapi Chadema wanapongeza jambo lolote la maendelea lililofanywa na Serikali?
Makonda umerudi, karibu tena.Rudi jikoni ujiongeze.. umepwaya na haujawahi kuwa hivyo kivileeee.. 🤣🤣🤣
Hii kali.. HONGERA SANA kwa kulitambua hili sasa.. too late.. nawe una kakosea usisingizie viongozi tu. 😅😅😅😅😅
Nimekumbuka picha ulipiga ukiwa Dar siku moja.. za kiupaparazi pale mnahangaika na viongozi wenu.. wa matumbo yao hadi Leo.. mlipotambua mmepwaya tangu enzi zileee.. miaka imeenda sasa..
Namshangaa huyo Tulia kama sio ujinga ni nini,kwamba yeye ni mgeni na Machadema ambao Huwa wanaombea Nchi ipate majanga Ili ccm eti ndio itaonekana Kushindwa hivyo watu watawachagua.