Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Narudia tena, huo haukuwa uchaguzi wa Chadema na CCM, huyu mtu uongozi wake kama spika na tabia zake vinatukera wengi wakiwemo wanaCCM na viongozi wa CCM yenyewe. Rejea kauli ya Kinana, "Bunge limeacha jukumu lake la msingi la kuisimamia na kuishauri serikali badala yake limekuwa bunge la kupitisha vitu vya hovyo bila kuhoji". Tulia hakubaliki tangu mwanzo bila kubebwa hatoboi, IPU kabebwa na jina la nchi baada ya kushindana na wagombea toka mataifa dhaifu. Hata hivyo IPU is not a big deal.
 
Kama Wana ccm wepi hao wanaokereka?
 
Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Hakuna mgawinyiko hapo Kuna wanaopenda rushwa na wasiopenda rushwa, Kuna walioko Ikulu na wanaotaka kwenda Ikulu, wenye ajira na wasiokuwa na ajira. Na wote hao adui yao ni mmoja TU, ukoloni mamboleo.
 
Msaidizi wa Tundu Lisu amekatwa mapanga
 
Sasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Rangi yake isiwe shida sana katika zama hizi. Ukweli ni kwamba kwa utendaji wake katika bunge la TZ, Hakustahiki kupata hiyo nafasi. Bahati imekuwa yake sababu ya kuwekewa wapinzani dhaifu na lobbying ya kufa mtu iliyofanywa hata na mataifa yenye interest TZ.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Yanga na Simba zitaendelea kutuunganisha...mnatofautiana vyama lakini mnashabikia timu moja

Zetu ni kelele za njaa zaidi kuliko itikadi za kisiasa.....ndiyo unaona kila mtu akipata asali anatulia!
 
Kama sio yeye DAB basi wewe ni mama Keegan utakua.

Mmmh nawe wa lini humu unalazimisha!!!.. Kama umekutana na post zangu sasa.. basi ujue nimekuwepo kama kawa..

Tulia tulia Acha kuhangaika.. πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

JF kumekucha..

Kazi iendelee.. 🀣🀣🀣
 

Bahati mbaya umebugi step, mtakapoweka wapinzani imara Tulia atakuwa ameshamaliza kipindi chake kinachoisha 2026. Huwa ni kipindi kimoja kumoja cha miaka 3 hiyo nafasi! Ndiyo taabu ya wivu na chuki, unakuta usiyemtaka kaja, hapo unatamani hata kujiharishia nguoni!
 
nadhani hoja inatakiwa iwe ni kwanini anafikiri Watanzania wengi walimwombea mabaya, kwanini yeye, ajichunguze, ajilaumu na kujirekebisha. haiwezi kutoka from nowhere watu wakakuombea mabaya.
 

Huo ni wivu wako tu, na siku zote mwenye roho ya chuki na wivu lazima afe maskini kama siyo fukara! I guess upo kwenye kundi hilo kwa sababu ya chuki na wivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…