saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
unamwonaje mamako aliyeshindwa kukuongoza wewe peke yako?Sasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamwonaje mamako aliyeshindwa kukuongoza wewe peke yako?Sasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Narudia tena, huo haukuwa uchaguzi wa Chadema na CCM, huyu mtu uongozi wake kama spika na tabia zake vinatukera wengi wakiwemo wanaCCM na viongozi wa CCM yenyewe. Rejea kauli ya Kinana, "Bunge limeacha jukumu lake la msingi la kuisimamia na kuishauri serikali badala yake limekuwa bunge la kupitisha vitu vya hovyo bila kuhoji". Tulia hakubaliki tangu mwanzo bila kubebwa hatoboi, IPU kabebwa na jina la nchi baada ya kushindana na wagombea toka mataifa dhaifu. Hata hivyo IPU is not a big deal.Namshangaa huyo Tulia kama sio ujinga ni nini,kwamba yeye ni mgeni na Machadema ambao Huwa wanaombea Nchi ipate majanga Ili ccm eti ndio itaonekana Kushindwa hivyo watu watawachagua.
Kwamba Tulia hajui Chadema ni Kama Yang na Simba au?
Tulia ameonesha udhaifu mkubwa.Watu anapambana nao Jimboni,ana sera tofauti kwenye Bandari na mambo kama hayo eti anategemea Chadema wampiganie?
Tulia amewahi ona wapi Chadema wanapongeza jambo lolote la maendelea lililofanywa na Serikali?
Kama Wana ccm wepi hao wanaokereka?Narudia tena, huo haukuwa uchaguzi wa Chadema na CCM, huyu mtu uongozi wake kama spika na tabia zake vinatukera wengi wakiwemo wanaCCM na viongozi wa CCM yenyewe. Rejea kauli ya Kinana, "Bunge limeacha jukumu lake la msingi la kuisimamia na kuishauri serikali badala yake limekuwa bunge la kupitisha vitu vya hovyo bila kuhoji". Tulia hakubaliki tangu mwanzo bila kubebwa hatoboi, IPU kabebwa na jina la nchi baada ya kushindana na wagombea toka mataifa dhaifu. Hata hivyo IPU is not a big deal.
Hakuna mgawinyiko hapo Kuna wanaopenda rushwa na wasiopenda rushwa, Kuna walioko Ikulu na wanaotaka kwenda Ikulu, wenye ajira na wasiokuwa na ajira. Na wote hao adui yao ni mmoja TU, ukoloni mamboleo.Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Msaidizi wa Tundu Lisu amekatwa mapangaMimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Tumeanza kuyaona kwa Mkapa shabiki wa Yanga alivyopigwa na wana Simba, ndo hayo yatakuja mitaaniHuu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Kama sio yeye DAB basi wewe ni mama Keegan utakua.Mmmh tangu lini nimekuwa yeye!!!
Pole yako.. mtapokea hizi kwa Sana
💉💉💉
Rangi yake isiwe shida sana katika zama hizi. Ukweli ni kwamba kwa utendaji wake katika bunge la TZ, Hakustahiki kupata hiyo nafasi. Bahati imekuwa yake sababu ya kuwekewa wapinzani dhaifu na lobbying ya kufa mtu iliyofanywa hata na mataifa yenye interest TZ.Sasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Kwi Kwi Kwiwe unajulikana ulivyo mpumbavu, unashinda humu JF na mauzushi, upotoshaji, mauwongo, uzandiki, uchochezi, kupandikiza chuki. Ulihangaika sana kipindi cha DP World sasa mkataba umesainiwa. Kwanza unafanya kazi saa ngapi, pili naionea huruma tumbo lililokuzaa. Umekaa kichawi hupendi kuona mtu au nchi ifanikiwe ktk lolote. We ni mchawi tena mkubwa, ila watu km wewe huishia vibaya.
Yanga na Simba zitaendelea kutuunganisha...mnatofautiana vyama lakini mnashabikia timu mojaHuu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Kama sio yeye DAB basi wewe ni mama Keegan utakua.
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Kama mwenyewe amekiri kuponea tundu la sindano wewe unabisha nini?
nadhani hoja inatakiwa iwe ni kwanini anafikiri Watanzania wengi walimwombea mabaya, kwanini yeye, ajichunguze, ajilaumu na kujirekebisha. haiwezi kutoka from nowhere watu wakakuombea mabaya.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Hawa watu wakishakua na madaraka wanatuona sisi sote ni sawa na takataka huyu Tulia ana dharau..ana kiburi na majivuno sana...sijui uzito wa hiyo nafasi lakini kwa vyovyote ni nafasi isiyokua na maana ndio mana unaona hata Siasa za nchi kubwa hazikuingizwa hapo ungeona kama US na China wanapambania hapo ndio ungeweza kuona ni. Nafasi ya maana..otherwise washiriki walikua watu dhaifu toka nchi chovu tu kama hapa hamna kitu...Ni wao wenyewe wanaikuza mana Tulia anajua wazi kule Mbeya hakushinda hata leo wakiita uchaguzi hawezi kushinda uchaguzi Huru.