Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 May 20, 2022 Thread starter #41 Behaviourist said: Miaka sitini ya uhuru Taifa bado linategemea fedha za COVID ndiyo liweze kutengenezea wanafunzi wetu matundu ya vyoo na bado unaona na kuamini kuwa mchawi ni akina Makamba na Nape?Jitafakari upya wewe pamoja na akili yako. Click to expand... Basi wote ndio walewale.
Behaviourist said: Miaka sitini ya uhuru Taifa bado linategemea fedha za COVID ndiyo liweze kutengenezea wanafunzi wetu matundu ya vyoo na bado unaona na kuamini kuwa mchawi ni akina Makamba na Nape?Jitafakari upya wewe pamoja na akili yako. Click to expand... Basi wote ndio walewale.
Kapwil JF-Expert Member Joined Apr 3, 2018 Posts 2,625 Reaction score 3,735 May 20, 2022 #42 Nyankurungu2020 said: Unaishi hapa Tanzania? Click to expand... Nadhani wewe ndio haupo tanzania
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 23, 2022 #43 Hao unaowataja ni watoto wa mama.