konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Kabisa mkuu. Tupaze sauti ili hawa Tigo wapewe adhabu kali.Airtel ndio mambo yote.. Tigo wanawanyonya sana wananchi, TCRA sijui hawaoni haya.. Yaani 10,000 upate 2.5 GB, kutoka 7 GB, huu ni uwizi wa wazi.. TCRA lazima wawape adhabu kali tigo
Unibembeleze tena?πππmkuuUelekeo wapi sasa
Njoo Zantel nikubembeleze nina dakika kama 9000 hivi
Halotel kuna unafuuHakuna kuliko na unafuu
Eeh yani tutapiga story za kuanzia la pili mpaka tulipo sasahivi na tutakapokuwa in 2 yrs ahead. Karibu sana!!!unibembeleze tena?πππmkuu
ππnakuja, baada ya storiea tuanze kujadili kuhusu miche ya matundaEeh yani tutapiga story za kuanzia la pili mpaka tulipo sasahivi na tutakapokuwa in 2 yrs ahead. Karibu sana!!!
Adhabu kali itawarudia wenyewe, wala msijisumbue. Mkijitia kiherehere mtauziwa 250MB kwa 10,000/=Kabisa mkuu. Tupaze sauti ili hawa Tigo wapewe adhabu kali.
Hahahah usitie shaka, tukimaliza miche tutaongelea kuhusu uvunaji wa tunda lenyewe.ππnakuja,baada ya storiea tuanze kujadili kuhusu miche ya matunda
voda 3 Gb wikiKasi ni 4G hamna utapeli wa kuibiana MB.
View attachment 1687243
imeisha hiyoHahahah usitie shaka, tukimaliza miche tutaongelea kuhusu uvunaji wa tunda lenyewe.
Eeh waaah, hio hio mujarabu kabisa πππi
imeisha hiyo
usiku wa leo tegemea kuona namba ngeni,Namba yako ya zantel si ile ile inayoishia 02?. Maana mimi nina ile ya voda yenye 68 mwisho
Hamna anayemkuta Zantelvoda 3 Gb wiki
Hahahah.Sawa mkuu,mengine tutajadili huko tusifaidishe wana jamviEe
Eeh waaah, hio hio mujarabu kabisa πππ
Hahahah.Sawa mkuu,mengine tutajadili huko tusifaidishe wana jamviEe
Eeh waaah, hio hio mujarabu kabisa πππ
Naaam...Kweli kabisa mamiiπ im longing for you!Hahahah.Sawa mkuu,mengine tutajadili huko tusifaidishe wana jamvi
ππ thank youuNaaam...Kweli kabisa mamiiπ im longing for you!
π€ππEeh yani tutapiga story za kuanzia la pili mpaka tulipo sasahivi na tutakapokuwa in 2 yrs ahead. Karibu sana!!!
Iko hivi, data ni anasa, huwezani nazo achana nazo sio unakuja kulia lia hapa.Wewe bhana. Acha ninyamaze tu. Nikikujibu nitaonekana nina wasiwas na IQ yako.