Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Airtel ndio mambo yote.. Tigo wanawanyonya sana wananchi, TCRA sijui hawaoni haya.. Yaani 10,000 upate 2.5 GB, kutoka 7 GB, huu ni uwizi wa wazi.. TCRA lazima wawape adhabu kali tigo
Kabisa mkuu. Tupaze sauti ili hawa Tigo wapewe adhabu kali.
 
Kabisa mkuu. Tupaze sauti ili hawa Tigo wapewe adhabu kali.
Adhabu kali itawarudia wenyewe, wala msijisumbue. Mkijitia kiherehere mtauziwa 250MB kwa 10,000/=

Ropokeni wapigwe faini tena muone!
 
i
Hahahah usitie shaka, tukimaliza miche tutaongelea kuhusu uvunaji wa tunda lenyewe.
imeisha hiyo
usiku wa leo tegemea kuona namba ngeni,Namba yako ya zantel si ile ile inayoishia 02?. Maana mimi nina ile ya voda yenye 68 mwisho
 
Nimeshatupa kitambo sana laini yao.

Na sina mpango wa kutumia tena tigo.
 
Wewe bhana. Acha ninyamaze tu. Nikikujibu nitaonekana nina wasiwas na IQ yako.
Iko hivi, data ni anasa, huwezani nazo achana nazo sio unakuja kulia lia hapa.

Kama 3,000 ya data inakuliza, utaweza kweli kuhoji akili yangu mimi?
 
Back
Top Bottom