Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Mimi nina mwezi wa 2 huu niko halotel, hao jamaa makato ya tigopesa wamepandisha na vifurushi ndio usiseme.. laini yao imekaaa tu ndani, kipindi kigumu kama hiki walitakiwa wapunguze gharama sijui hawaoni alama za nyakati.
 
Wa halotel wanacheka hivi View attachment 1687239ila wangejua yajayo yanafurahisha
Halotel nako watakurupua vifurushi mda si mrefu. Yani hayo mamitandao niliyahama sababu hio. Wote washenzi ni mbio za vijiti tu....Akianza Voda anampasia Tigo anampasia Halotel...anamrudishia voda.

Kihistoria tunaita "Nomadic Pastoralism" au "Shifting Cultivation" 😂😂😂
 
Zantel hakuna huo upuuzi, tatizo watanzania ni watu wa kulia lia hovyo. Mkipigwa mnalia lia badala mu move on mitandao mitano kweli ung'ang'ane na matapeli
Zantel niliwahi kutumia muda sana, nitaitafuta sasa [emoji23] kuna line nyingine tunazitumia kama simu ya mezani basi
 
Wameona mnatumia VPN Sasa ngoja watoe vifurushi tuone mtatumia Nini..
 
Mkuu, Zantel mtandao wake upo kasi? Vifurushi vya wiki bei gani??
Kasi ni 4G hamna utapeli wa kuibiana MB.
Screenshot_20210127-103212.png
 
Ya kwako tu ndo ilikuwa inanisaidia ila naona kama kwangu imepanda tena 3000 per week
Hata me nikama wewe mkuu yaani toka buku mpka buku tatu kwa gb 1 na sms 100 na dakika 120 kweli cjui voda wanatuonaje.

Mitano tena
 
😂😂😂😂😂😂😂hawajui factor za majimaji,mau mau,mfekane etc bado zimetuganda hadi leo hasa hili li taxation
Hal
Halotel nako watakurupua vifurushi mda si mrefu. Yani hayo mamitandao niliyahama sababu hio. Wote washenzi ni mbio za vijiti tu....Akianza Voda anampasia Tigo anampasia Halotel...anamrudishia voda.

Kihistoria tunaita "Nomadic Pastoralism" au "Shifting Cultivation" 😂😂😂
 
Mkuu mimi mwenyewe nimepatwa na mshangao huohuo leo. Hapa nafikiria kuhama mtandao, sijui huko kwingine nako ni nafuu au ni unyonyaji huu huu.
Endeeleeni kupigwa, Zantel ni 12GB kwa 10K...
Na huku hamna kuhamisha hamisha magoli kama kwa hao 3 Musketeers!
 
Back
Top Bottom